Ginner
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 1,459
- 1,832
Kuna chizi mmoja alipanda daladala, Karopoka ropoka akisema 'babangu angelikua jogoo na mamangu angekua kuku ningezaliwa kifaranga'.
Kisha akaendelea kusema 'mamangu angekua ng'ombe na babangu fahari ningezaliwa ndama.'conductor akanoki akamuuliza, 'je babako angekua mwizi na mamako malaya ungezaliwa nani?'
Chizi akafikiria kisha akajibu 'ningezaliwa conductor.