Jokate na twende kilioni mbaya na chafu

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
photo.JPG


Jokate hii picha ni mbaya sana aiseee ok twende kilioni sio mbaya ila nywele zinaonekana zimfumuka fumuka kama vile zimsukwa na kukaa kichwani muda mrefu pia ni chafu kwa shori kama huyu mazee hakupaswa kuwa hivyo.
 
Mazee mbona mimi naona ziko pouwa tu sio mbaya sanaa au labda ni picha yenyewe...
 
Mazee mbona mimi naona ziko pouwa tu sio mbaya sanaa au labda ni picha yenyewe...

arifu ziko mbaya aisee.....zimeanza kufumuka fumuka na zinaonekana ni chafu...angalia nywele nadhifu za mama Migiro arifu zilivyo safi..
 
Hii style ya twende kilion km inarudi flan!!
Nimeshakutana na madada kadhaa wameisuka vizuri na inapendeza!!

Asa hizi za jokate nahisi fundi wake ndio hakuzishika vizuri wakati wa kusuka na zinaonekana sio nwele ndefu!!
 
Binafsi huwa napenda sana mwanamke akisuka twende kilioni.

Siku moja nikamshawishi Ze Mupenzi wangu asuke aina hiyo, majibu yake nilichoka eti ''tumewaachia wanaume hiyo style''

Mwanzoni sikumuelewa ila nilipokua naangalia Football match akanikumbusha nikaona wachezaj kama wanne hivi wamesuka huo mtindo..
 
Mbona nywele zake zimekaa poa tu, au macho yako hayaoni vizuri? Mimi sioni kabisa kama zimefumuka halafu nampongeza maana katuwakilisha vizuri wabongo na nywele zetu natural, au ulitaka ashonee wigi la mchina?
 
msusi ka mkosea kumsuka hizo ywele angesukwa na BIBI angu angependeza sana kwa anajua usuka sana
 
photo.JPG


Jokate hii picha ni mbaya sana aiseee....ok twende kilioni sio mbaya ila nywele zinaonekana zimfumuka fumuka kama vile zimsukwa na kukaa kichwani muda mrefu....pia ni chafu..kwa shori kama huyu mazee hakupaswa kuwa hivyo.....

Labda hawezi ku afford ma shampoo na ma conditioner.
 
Back
Top Bottom