Jokate amlipua Diamond

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,383
Sexy lady anayefanya poa na ngoma yake ya Leo Leo, Jokate Mwegelo ' Kidoti ' , amemlipua aliyewahi kuwa mwandani wake , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz ' ambaye hivi karibuni alimwita makombo baada ya kusikia kwa sasa anatoka kimalovee na msanii Ali Kiba.

Akizungumza na gazeti namba moja la mastaa Bongo ,

Wikiendi iliyopita , Jokate alisema alishangazwa na maneno hayo ambayo hakustahili kuyatamka kwani kama ni ishu ya mtu kula makombo mbona hata yeye ni makombo na bado anakula makombo ?

"Sijapendezwa na kauli ya Diamond na namshangaa sana , sijajua nini kimemkuta maana mimi sijamtaka wala hakuna ambapo niliwahi kumwambia kuwa ninatoka au ninamtaka Kiba , zaidi ya maneno ya watu kwenye mitandao ya kijamii .

"Hata kama hilo lipo , bado sioni maana ya neno makombo kwani hata yeye ni makombo na anakula makombo kwa Zari (Zarinah Hassan) kwani nani asiyejua ?" alihoji Jokate akionekana kuchukizwa na kauli hiyo ya Diamond na kuongeza:

"Yawezekana labda maana ya neno hilo hatulijui ndiyo maana tunalisema bila kuliangalia kwa umbali zaidi , hivyo ninachoweza kukisema ni kwamba mimi sijawahi kumtaka wala kumhitaji hivyo sioni kabisa sababu ya msingi ya kusema hivyo labda kama alikuwa na maana nyingine tofauti na hiyo."

Chanzo: GPL
 
Huyu naye ameingia kichwa kichwa na maneno yanayotungwa juu ya D na wanaomchukia. Kwanza Diamond ana muda gani mchafu kwenda kumtaja yeye na kumfatilia maisha?

Hakutajwa kwenye mwimbo mpya?

Bora angekaa kimya maana amechemka.
 
Yaani kajibu tuu tushapata chakuandika JF tuulishiwa na thread kbs tukawa tunarudia rudia now atleast tumepata kipya cha kupost.
 
Natamani Diamond angetoka na mtu kama Diva au Faiza Allh... hahaa halafu waachane, angejuta maana anawaonea hao wasiojua kubwatuka

Labda toka nao wewe basi uwe mfano akuone. amewaonea wapi na haya maneno hakuyasema?
 
Huyu naye ameingia kichwa kichwa na maneno yanayotungwa juu ya D na wanaomchukia. Kwanza Diamond ana muda gani mchafu kwenda kumtaja yeye na kumfatilia maisha?

Hakutajwa kwenye mwimbo mpya?

Bora angekaa kimya maana amechemka.

Usiseme diamond hana mda mchafu, anayeturambishaga ndimu nani? Mtoto mswahil yule sijaona
 
Lol Warumi kazaliwa Tandale, jana kamrushia ndimu mmarekani nikachekaje mie

YUle kwa vichambo ndio mwenyewe, nyie muoneeni Alikiba tu hajui kuongea ila sio yule toto la tandale utachambwa mpaka uchanganyikiwe, yule namuwezea mwenyew mswahil mwenzie
 
Huyu naye ameingia kichwa kichwa na maneno yanayotungwa juu ya D na wanaomchukia. Kwanza Diamond ana muda gani mchafu kwenda kumtaja yeye na kumfatilia maisha?

Hakutajwa kwenye mwimbo mpya?

Bora angekaa kimya maana amechemka.

Kachemka Jojo kama kweli kaongea ivo.
 
jokate ni makombo tuu kama yalivyo makombo mengine.....
Abishee ila huo ndio ukweli...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom