Joining Instruction za UDOM kwa mwaka 2014/2015

Kijallo

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
409
61
Habari wakuu,

Naomba msaada kama kuna mtu analink ya joining instruction za Udom 2014/2015 anisaidie
 
kwani wewe umechaguliwa udom? Bila hivyo huwezi pata hiyo link simply because kila student wa udom anatumiwa au kuwekewa kwenye account yake ambayo uki click Udom website then nenda kwenye pale wameandika quick access bofya neno hili ALIS
 
Joining intraction? ndio nin hiyo,,
Yan hyo sio typing error wewe hujui,kwa semister ya kwanza lazima utakuwa na supp 4
 
nina wasiwasi na elimu yako. hivi utaweza hata kuandika barua ya kuomba kazi? hahaha!!


Hahah jina lake tu linatia huruma
Yani mpaka sasa hajapata admission letter and other documents
Mbona anatia huruma
 
nina wasiwasi na elimu yako. hivi utaweza hata kuandika barua ya kuomba kazi? hahaha!!

hahaha! utakuta ni kijana wa big result,pengine div one ya tatu,then o level ana A au B,kweli ngeli si mchezo" thiz iz kitchen,go end kuku in chicken! akimaanisha huyu ni kuku akapikwe jikoni hahaahaaa!
 
Hahah jina lake tu linatia huruma
Yani mpaka sasa hajapata admission letter and other documents
Mbona anatia huruma

Hahahaaaa Nimecheka Saaaaaana Acheni kumponda mwenzenu kama sap atapata huko huko nakwanini watu wasingebaki kwenye vyuo vyao vya kwanza hadi wahame! Hayo ndo matatizo sasa
 
Back
Top Bottom