UDOM baada ya ku-postpone masomo unaruhusiwa kurudi chuo baada ya muda gani/miaka mingapi?

Shimaje

Member
Apr 12, 2018
84
45
Habari wana Jamvi, mimi ninaomba msaada nilijiunga Na UDOM mwaka 2021/2022 lakini kwa changamoto fulani nikashindwa kuendelea na Masomo nika postpone nikarudi mtaani sasa nimepata Scholarship nataka kurudi kuendelea na chuo je kuanzia mwaka wa masomo 2021/2022 hadi sasa 2023/2024 bado nitakua valid student wa UDOM au nifanye application tena? Lakini UDOM SR2 yangu hadi sasa naweza ku access. Wapo waloniambia nakua Valid kwa miaka miwili tangu ku postpone lakini barua ya Kukubaliwa ku postpone inanichanganya inaonesha ilikua lazima nirudi mwaka ule ule wa masomo 2021/2022.

Naombeni msaada wakuu

View attachment 2684759View attachment 2684758
Screenshot_20230711_120012_Chrome.jpg
 
Kwann elezea
Inabidi niende chuo cha kuhamia nipate nafasi then nirudi UDOM nifanye like registration then niombe transfer (within 30 days) ndio naweza kuhama kwa mtu anaejisomesha mwenyew it's easy, lakini kwangu mimi scholarship inanitaka nipeleke admission letter before kwenda University so currently kupata ya chuo kingine nachoweza kuhamia (i prefer KAIRUKI) itakua ngumu

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Duh kwa situation kama hiyo ni complex ila fatilia vizuri bila shaka utafanikiwa
 
Back
Top Bottom