John Tendwa ana matatizo gani?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,886
Waliotazama habari ya tbc0ne wamemuona john tendwa alichosema

eti wabunge wana muabisha
na kwamba wananchi wanamuuliza hivi vyama vyako
vipi....????
Na yeye anataka wabunge walinde heshima yake
wasimuabishe........

Hivi huyu mzima kweli?????????????????????

Msajili wa vyama vya siasa ni sawasaw na mmiliki wa vyama hivyo??!! Hao wananchi wanaomuuliza nina wasiwasi kama wanajua wanavyoviuliza!

Msajili wa vyama vya siasa ni sawasaw na mmiliki wa vyama hivyo??!! Hao wananchi wanaomuuliza nina wasiwasi kama wanajua wanavyoviuliza!

sasa kama wananchi hao hawajui
na yeye je??????

anaposema wasimuaibishe ,yeye ni nani kwani?yeye ndo mmilikiwa vyama???????

sasa kama wananchi hao hawajui
na yeye je??????

anaposema wasimuaibishe ,yeye ni nani kwani?yeye ndo mmilikiwa vyama???????

Hao wananchi hawajui wanachokiuliza huku Tendwa nae hajui anachokijibu!!

Huyu mzee amerogwa kabisa, hivi umri wa kustaafu ni miaka mingapi? maana hawa wazee wanaendesha nchi hii kama household ambapo ukomo wa madaraka huwa baada ya kifo cha mkuu wa kaya ndipo familia inafikiria kuhamisha baadhi ya majukumu.
Akili imechoka kama alivyochoka yeye na angeendelea kuongea pale hata yeye angetushangaza maana ungeona anataja majina ya vyama.
Eehe MUNGU inusuru nchi hii na Taifa lako na mikono hii ya wanaotuangamiza bila sababu

Shida ya nchi hii viongozi wetu huitisha mikutano na waandishi ili kujustify matumizi ya pesa, CAG ebu achunguze matumizi ya ofisi ya Teendwa kwa jana lazima kuna mafuta, posho yake, dereva, secretary, wapambe kadhaa na .... CAG, kamata hawa usiwaache hivihivi
Wazee wastaafu mapema hatutaki kuja kuwashtaki uzeeni kama yanatyomkuta Rais Hussein Mubaarak Misri, urmi na magonjwa ya moyo, mwisho mtakufa kwa mawazo.
Jerry rawlings Rais wa Ghana wakati huo alikuwa ndiyo msemaji wa wageni wote wakati wa msiba wa baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, katika aliyoyasema aliwakumbusha wenzake waliokuwa jukwaani na kuwauliza, Je? ni nani kati yetu atakayeendelea kupendwa hadi kufa kwake kama ilivyo kwa menzetu huy tunayemuaga leo?
Wazee hawajui kujiwekea hazina na bima ya maisha ya uzeeeni na ndiyo maana wanataka wafe wakiwa madarakani, wakistaafu wanapata shida san

Kwa kweli hata mimi sikumuelewa kabisa huyu mzee, na pia alivipiga biti vyama vya siasa kuhusiana na uchaguzi wa Igunga!

sasa huoni hatari kwa tendwa kutojua cha kuzungumza?????????

Ni hatari kweli lakini ndio mfumo wetu mbovu ulivyo...watu wanakua viongozi kwa kujuana..rais anateua watu kwa kujuana..matokeo yake ndio sampuli ya kina Tendwa. Hopefully, Katiba mpya kwa maoni yetu itaweza kutatua matatizo kama haya.

Huyu jamaa ana mtindio wa ubongo kwa kweli na aliona domo lake liko kimya sana!

Kwani wewe huoni wabunge wetu wanvyopwaya? Wengine wanataka kupigana, matusi kejeli utafikiri wapo kijiweni JF!

Tendwa aah! huyo ni kada wa magamba ndo maana hata ofsi yake haiguswi hata na CAG wala nini ukimuona umri umepita lakin bado anapeta kwanini?

Huyu mzee muongo. Nina uhakika hamna mwananchi hata mmoja aliyemuuliza hivyo. Kajitungia tu "watu" ili kusema alicho taka kusema. Ni wananchi wa aina gani hiyo ambao wataenda kwa msajili wa vyama vya siasa na kumuambia hivyo??? Asije akawa alikua anaota.

On a side note: Hivi hamna term limit kwa Msajili wa Vyama vya Siasa? Maana huyu mzee nae kakaa muda.

NADHANI KWENYE SHERIA ZA UTUMISHI KUNA AGE LIMIT!ILA WANAPNDISHA SHRIA

Waliotazama habari ya tbc0ne wamemuona john tendwa alichosema

eti wabunge wana muabisha

na kwamba wananchi wanamuuliza hivi vyama vyako

vipi....????

Na yeye anataka wabunge walinde heshima yake

wasimuabishe........

Hivi huyu mzima kweli?????????????????????

jamani Tendwa sio kosa lake utoton alsumbuliwa sana kifaduro, surua, pepopunda na degedege. A normal person can't talk such nonsense.

Back
Top Bottom