John Tendwa ana matatizo gani?

Moja ya Pumba alizotema ni hii namnukuuuu jamani: "...Halafu tena timu haiwezi fanya mazoezi kwenye kiwanja cha mechi kabla ya kipenga kupulizwa".mwisho wa kumnukuu.Alitaka kutuaminisha kwamba anajua sana soka.Ukweli ulivyo,Sote hasa tunaopenda Mpira wa miguu yaani soka tunajua kwamba Timu ngeni (Visiting team) hupewa siku moja kabla kutumia uwanja wa mechi husika ili wauzoeee. Kwa hiyo mpaka hapa huyu Babu ni mwongo.So let Chadema na vingine vya upinzani kama vipo waendelee tu wao si wageni bwana maana wao Ze-Magambazi tayari walikuwa wanamiliki mzigo,wametema mzigo wanaogopa harakani za Chadema.Kweli Magamba wameweka rehani kila kitu hadi Sheria walizotunga wenyewe ikiwemo umri wa kustaafu wamezipeleka Mfungoni Mwezi mtukutu.
 
Huyu mzee muongo. Nina uhakika hamna mwananchi hata mmoja aliyemuuliza hivyo. Kajitungia tu "watu" ili kusema alicho taka kusema. Ni wananchi wa aina gani hiyo ambao wataenda kwa msajili wa vyama vya siasa na kumuambia hivyo??? Asije akawa alikua anaota.

On a side note: Hivi hamna term limit kwa Msajili wa Vyama vya Siasa? Maana huyu mzee nae kakaa muda.

Issue za kujitungia utazistukia tu, huyo kibaraka anatetea unga wa watoto. Asiporopoka chochote anaweza kudhaniwa hayupo.
 
ni kweli kaulizwa, msimbishie, si watu wanaona jinsi madudu yanayofanywa na wabunge magamba wenzake ndio maana watu wanamuuliza wabunge wako (wakimagamba) vipi? sasa nae badala ya kuwakemea ktk vikao vyao vya chama yeye anakuja kutueleza sisi, kwani inatuhusu? punga kweli hili.... nasi tunamwambia tutampunguzia aibu kwa kuwapiga chini wabunge wa magamba 2015 asiwe na wasiwasi.
 
Tendwa yuko sahihi ila tu nyie mnasukumwa na itikadi za kisiasa, yeye ndie mlezi wa vyama vyote ana haki ya kuvikemea na kuvirekebisha, kama hana haki hiyo nyie cdm mbona mmemshirikisha katika kutafuta suluhu ya Arusha?
 
Tendwa yuko sahihi ila tu nyie mnasukumwa na itikadi za kisiasa, yeye ndie mlezi wa vyama vyote ana haki ya kuvikemea na kuvirekebisha, kama hana haki hiyo nyie cdm mbona mmemshirikisha katika kutafuta suluhu ya Arusha?
<br />
<br />
kwani waliochangia hapa ni cdm tu? Wewe ndie unayesukumwa na ushabiki wa kisiasa!
 
Ni mzee sana huenda hata hakujua anachoongea, tz mtu mpaka afe ndo mwisho wa kazi yake, mnaomaliza vyuo kazi kwenu.
 
Back
Top Bottom