John Mashaka na Hildebrand Shayo

hawa jamaa kwa nini huwa hawaleti hii mijadla yao huku JF au kuna kitu mnawaogopesha?

Kwa nini wako comfortable sana kule kwa Michuzi?

nawasilisha

Nadhani JF inatishwa na John Mashaka na Dr. Shayo ndo maana kumsema na majungu yanakuwa mengi
 
LOL. Nendeni mpeleke picha zenu mkifanya party kisha mzijadili.

Pia mkiwa na sherehe au miknywa konyagi pelekeni picha kule mjadili.

Hizo hoja hazijadiliwi hapa JF.
 
yani ukiweka kule comments juu ya hawa watu inachujwa kisawasawa
labda uandike president mtarajiwa 2015 ndio itapita kiuraisi
kwi kwi kwi kwi......
Wenzako wanampa zawadi michuzi na hizo comments nyingi wanajitilia wenyewe ni kama watoto ambao wamebarehe juzi juzi.hapa hawawezi wanaopa vichwa kama kina GT.
 
Mbona John Mashaka yupo hapa JF na ni mchangiaji mzuri tuu ila hapendi kujulikana maana anajiona yeye ni bonge moja la celebrity.

John alishamwambia one of my friend with hia kenyan accent eti "unajua mimi watu wananijua sana so kama ukiniona inabidi ujitambulishe wewe ni nani na tumeonana wapi"?.
Hata Shayo yupo lakini siruhusiwi kutaja ID yake hapa.alikasirika sana nilipomwambia kuwa sio mtalaam wa Uchumi.
 
Watu wengine bana sasa mnalinganishaje JF na Michuzi yaani kuweka apple na apple kwenu ni taaabu!!
 
JF kuna majungu sio mchezo.Ndio maana watu makini wote wamekimbia hapa.Walio baki ni watu kama akina YoYo,Fidel80 na Next Level hawa ndio vinara wa majungu hapa.
Wamekimbilia wapi?,kwa Michuzi???,ina maana na wewe si mtu makini ndo maana bado upo JF(maana unasema watu makini wote wamekimbia Jf)...Fikiri kabla ya kupost aisee
 
Kweli nimeamini JF kumejaa ma snobs

no wonder wanakimbilia kwa michuzi duh!

yaani mnavyoua mpaka noma
 
Ebana kwani wewe unasomaga articles za hao jamaa?

ahhhh shekheee..

hebu nitake radhi mwinyi wanguuu

niradhi nimsome MUYAKA kuliko hawa ma mediocre ambao wanaonekana kama vile wanajifunza kuandika essays zao za first year ..kwenye gazeti ya shule

ntake radhi mkuu

duh!
 
JF kuna majungu sio mchezo.Ndio maana watu makini wote wamekimbia hapa.Walio baki ni watu kama akina YoYo,Fidel80 na Next Level hawa ndio vinara wa majungu hapa.
hapa mkuu cartberth naona unatafuta ''umaarufu sasa''
 
ahhhh shekheee..

hebu nitake radhi mwinyi wanguuu

niradhi nimsome MUYAKA kuliko hawa ma mediocre ambao wanaonekana kama vile wanajifunza kuandika essays zao za first year ..kwenye gazeti ya shule

ntake radhi mkuu

duh!

Niwie radhi yakhe kwani tuko pamoja atii...
 
Wamekimbilia wapi?,kwa Michuzi???,ina maana na wewe si mtu makini ndo maana bado upo JF(maana unasema watu makini wote wamekimbia Jf)...Fikiri kabla ya kupost aisee

Mkuu huyu dogo naona anatutafuta sana tena mno nahisi kama ametumwa.
 
Walio baki ni watu kama akina YoYo,Fidel80 na Next Level hawa ndio vinara wa majungu hapa.

Dogo umeingia juzi tu hapa JF unaweza ukatuambia majungu tunayo piga? Lasivyo hii ishu naipeleka mwa mods tueleze majungu gani tunapiga?
 
Back
Top Bottom