John Mashaka na Hildebrand Shayo

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
hawa jamaa kwa nini huwa hawaleti hii mijadla yao huku JF au kuna kitu mnawaogopesha?

Kwa nini wako comfortable sana kule kwa Michuzi?

nawasilisha
 
Kwa Michuzi kunawapa mashabiki wanaowataka (walengwa) kuliko hapa.

Hapa kuna vichwa ambavyo vingewajibu kwa hoja hivyo wanaona ni bora wapate mashabiki kule.

Nawakilisha
 
mmoja ni mwanachama humu ndani
JF wapo up to date sana, kuna mijadala mingine kule inakuta imeshashughulikiwa huku jf wao wanachofanya wanaiandika kwa kiingereza kwa hiyo inaonekana mipya
si unajua kule vilaza wengi
GT, watu wa kule wanadhania wewe ndio us blogger, vipi ya kweli haya??
 
wanaogopa watakutana na vichwa vitawasambaratisha kule wanakutana na vilaza vinawafagilia kinoma,vingine hata lugha wanayotumia havielewi lakini vinafagilia hoja,kaaz kwel kwel
 
Kule kuna wengi wanaojifunza kiingereza,kwahiyo kila linaloandikwa kwa kiingereza wanaona kama almasi. Nilishawahi kuuliza kama hawa jamaa wamewahi kupublish kwenye majarida gani ya kisomi sikupata jibu. Lakini humu kuna wataalam wa kila kona. Sina nia ya kushindana lakini kifupi ni kwamba hii ni forum na ile ni blog. Ndio maana hapa watu wanazipambanua mada kwa kina wakati kule ni ushabiki tu kama wa mpira. Hoja ikishatoka ni wanawake kuomba jamaa awaoe etc. Nonsencical arguments tupu!
 
yani ukiweka kule comments juu ya hawa watu inachujwa kisawasawa
labda uandike president mtarajiwa 2015 ndio itapita kiuraisi
kwi kwi kwi kwi......
 
Hapa JF hakua picha za party za wabongo wakinywa KONYAGI Sweden, wala picha za wadau wa SOUTH.

Hapa ni kukata issues tu.
 
mmoja ni mwanachama humu ndani
JF wapo up to date sana, kuna mijadala mingine kule inakuta imeshashughulikiwa huku jf wao wanachofanya wanaiandika kwa kiingereza kwa hiyo inaonekana mipya
si unajua kule vilaza wengi
GT, watu wa kule wanadhania wewe ndio us blogger, vipi ya kweli haya??

Duh!

hebu niwie radhi mkulu!

duh! i cant be that low..mie platform ninayo nayo ni JF sasa ya nini kutanga tanga kule?

hebu rudisha statement yako kwanza dah! M/Mungu aniepushe mbali mie
 
hawa jamaa kwa nini huwa hawaleti hii mijadla yao huku JF au kuna kitu mnawaogopesha?

Kwa nini wako comfortable sana kule kwa Michuzi?

nawasilisha

Mbona John Mashaka yupo hapa JF na ni mchangiaji mzuri tuu ila hapendi kujulikana maana anajiona yeye ni bonge moja la celebrity.

John alishamwambia one of my friend with hia kenyan accent eti "unajua mimi watu wananijua sana so kama ukiniona inabidi ujitambulishe wewe ni nani na tumeonana wapi"?.
 
Mkuu mbona mchokozi hivyo? we si umeombwa uende kujiunga huko? siri za nyumbani kwa mtu unapaswa kuziacha huko huko kwake. teh teh teh mkuu unatisha

mimi nauliza kwa ajili sielewi uhusiano kati ya hii blog na hii thread
au labda shy kaiweka mahali sipo
 
wanaogopa watakutana na vichwa vitawasambaratisha kule wanakutana na vilaza vinawafagilia kinoma,vingine hata lugha wanayotumia havielewi lakini vinafagilia hoja,kaaz kwel kwel

Mkuu, ila umesahau kitu kimoja,

Wale ndo wapiga kura. Kwa hiyo ndo wanafanya maamuzi makubwa yanayotuhusu watanzania wote kila baada ya miaka mitano.
 
Back
Top Bottom