John Heche atangaza rasmi kugombea jimbo la Tarime

Eeewaaaaa!wapi molemo,wapi zitto fobias wote wa jf!kijana nae katoa ya moyoni mwake nahitaji kuwaona hapa mkimwita majina kama vile mamluki,katumwa,afukuzwe chama,anahujumu chama n.k .,leo ndio unafiki wa molemo na kundi lake utajulikana(zitto fobias)teh teh siasa bwana!
 
Nasubiri kusikia kama huyu, na wale wengine waliotangaza nia kwenye harambee ya M4C pale Serena kama nao wataitwa majina kama alivyoitwa Zitto.
wewe ndiye unajua hayo na si kila mtu anayejipanga kutoa jimbo ccm atakuwa kama zitto tofautisha hapo
 
Kumbe kampeni zimeishaanza za kugombea ubunge na urais mbona Zitto Kabwe akisema anashambuliwa.

Huu ni utovu wa nidhamu, juzi wakati DJ anasafisha hela chafu alikemea tabia ya kuanza kutangaza nia. Sasa huyu kibaraka wake sijui hakumsikia au kuti la mazoea?
 
hivi kuongea sana ndio uwezo wa kuwa mbunge hata kama unaongea pumba?.....
 
hatuoni kama kuna tatizo kwa mtu aliye na maono kuamua kusema atajiunga kuwatoa wananchi utumwani huyu dogo yuko sawa kabisa maana kasema pia akipitishwa na cdm atagombea wala hana uchu halafu jamani dogo inasemekana anakubalika saaana huko tumwache arudishe power ya cdm tarime huyo wa daruso si ndiye aliyeshindwa na lile jamaa dhaifu la ccm tena inasemekana wanatoka eneo moja mwachieni dogo aungurume hata sisi wana jf tutafurah kumwona mjengoni ni moja wapo ya hazina za cdm huyu
 
Utani aside: Hivi mgombea ubunge anavyoahidi kuwatoa watu kwenye umasikini anamaanisha nini? maneno ya namna hii yamemuweka katika wakati mgumu sana Mnyika, mpaka sasa Ubungo maji kitendawili barabara zote tope. Uchaguzi ukija atasema serikali haijatekeleza, sasa kwanini uhaidi kama unajua mtekelezaji siyo wewe? Unachotakiwa ni kuahidi kuibana na kuifuatilia serikali, lakini sio kwamba utatatua. Huo ni usanii mwingine wa wanasiasa!
 
Ila sikufuraishwa na kauli yake kuwa atagombea ubunge iwapo chama kitamruhusu haya ndio mambo yaliyofanya tumshukie zitto alipotangaza nia yake ya kugombea urais sasa hivi ni wakati wa kupiga kazi ya kueneza sera na mtandao wa chama ili ikifika 2015 mgombea yoyote atakayeteuliwa awe na uhakika wa kupita lakini mkianza sasa hivi kuna Mwita aliyegombea uchaguzi uliopita naye ataanza kampeni hivyo badala ya kujenga chama mtajenga makundi ambayo hayana faida kwa chama kumbuka Tarime ilikuwa ngome ya cdm ila kutokana na kuhitilifiana jimbo lilienda kwa CCM naomba msirudie tena yale makosa mnaweza kumlaumu mwenyekiti wa CDM wilaya anatumiwa na CCM ila ukifatilia utakuta ni siasa za ndani za CDM
 
Ni malengo mazuri na ni haki yake kikatiba, ila ushauri wangu ni kwamba alikuwa hana haja ya kuweka hadharani suala hilo kwa sasa bali kulifanyia kazi chini kwa chini na kimya na angefanikisha mengi sana kwa ufanisi zaidi kuliko kujiweka hadharani mapema namna hii, na especially kwa nafasi yake kwenye Chama; Juzi mbowe alitoa tamko zuri sana kwamba kazi iliyo mbele yao kwa sasa ni kuzidi kuimarisha chama, sio kutafuta madaraka; Heche angefuata dhana hii, na angetumia project ya sasa ya ujenzi wa chama kuonyesha uwezo wake wa uongozi; vinginevyo kwa sasa amejiweka on 'collision course' na fitina za kila aina for the remaining three years;
 
Hivi Kamanda Mwita Mwikwabe na yeye sini wa huko huko Tarime au nachanganya ma-file?Mmh!Yetu macho tu ,kumbe posho wengi tunazipenda aisee!!

Mkuu Tega Masikio nadhani sasa kutakuwa na Kimbunga. Mwikwabe naye ni huko huko na Heche naye huko huko. Hapa naona blue blue; kwani muda wa kutangaza nia ya kugombea umefika? Au kutangaza nia ya ubunge ni sawa lakini Urais mwiko? Juzi watu wamesema Zitto ametangaza nia basi akaandamwa kweli sasa huyu Heche naye? Kizungumkuti
 
Watu wamemuekea Heche maneno mdomoni, haya mmeyatoa wapi? katika mikutano yake yote anayoifanya hajatamka swala la kugombea, mfano mkutano wake 13-8 hapa muliba hajatamka hayo. CCM haya mnayatoa wapi?

Mkuu gazeti linasema aliyasema hayo maneno pale Sirari Sokoni wewe unasema Muriba (Tarime hakuna eneo linaloitwa Muliba)?
 
Hili Jamaa hamna kitu kichwani kwanza halafu ametangaza nia wakati mwenyekiti wao amesema genge la wataka vyeo yenye haliongozi na huyu ni kondoo aliyepotea.Asijuisumbue Tarime hawawezi kumpa mtu mwepesi Kama yeye Labda mwikabe
 
Ulimsikia Lema majuzi kwenye Star TV alisema anataka kumuachia Slaa, agombee ubunge Arusha halafu 2005 Slaa nae atamuachia Lema, halafu Slaa atagombea urais 2005 wanaachiana vijiti, hapo ndiyo hujue Chadema ina wenyewe hakuna chaguzi za kupitisha wagombea.
Mkuu naona dunia inaenda kasi na iko mbele miaka 8 zaidi yako rekebisha hiyo miaka yako ili ulingane na kasi ya dunia ili tuweze kujikita kwenye hiyo hoja yako vinginevyo ipeleke museum
 
Ulimsikia Lema majuzi kwenye Star TV alisema anataka kumuachia Slaa, agombee ubunge Arusha halafu 2005 Slaa nae atamuachia Lema, halafu Slaa atagombea urais 2005 wanaachiana vijiti, hapo ndiyo hujue Chadema ina wenyewe hakuna chaguzi za kupitisha wagombea.

Ujinga unakufanya hata usijue mwaka unaoakiwa kufanyika uchaguzi

mkurupukaji wa jf
 
Ujinga unakufanya hata usijue mwaka unaoakiwa kufanyika uchaguzi

mkurupukaji wa jf

Lema, hiyo ndio alisema hiyo miaka...hivi uchoki kuwa ID's nyingi ile ya TAL na ile ya brutus hazikutoshi...kw! Kwi! Kwi teh teh.
 
Back
Top Bottom