John Heche atangaza rasmi kugombea jimbo la Tarime

huyu naye ni tatizo kama kweli katangaza nia...ovyo kabisa,kumbe wakina zitto wapo wengi,aombe msamaha huyu
 
Kama ni kweli:

Duh ndiyo kilichompeleka huko? Alitumia fedha za kwake ama za chama? Muda ambao Bavicha inastahili kuimarishwa ndiyo watu wanaibuka kuangalia ubunge?

Zitto alipotangaza kugombea Urais kulikuwa na kampeni kule arumeru,ilikua imekaa ndivyo sivyo

Huyu anataka kugombea ubunge huku akijua wenzake wanaotaka kugombea jimbo hilo pia wako kwenye Ziara ambayo ni nyeti kabisa na katibu mkuu huko Morogoro.Je wenzake wakiacha ziara na wao wakaenda Tarime kutangaza nia itakuaje?Hii siyo hujuma dhidi ya M4C? Hii imekaa ndivyo sivyo.

Namshauri aimarishe BAVICHA kabla ya uchaguzi wa ndani ya chama mwakani.huwezi kugombea Ubunge 2015 na ukategemea kuwakomboa watanzania ambao asilimia kubwa ni vijana huku ukiiacha BAVICHA ikiwa haijasimama vizuri

BAVICHA ni chombo nyeti kabisa katika kusukuma harakati za mabadiliko.Tuimarishe BAVICHA kwa maslahi ya vijana wote kabla hatujajifikiria wenyewe na kuchochea mgawanyiko usio wa Lazima kwa muda huu

Naona na wewe umeanza kampeni za BAVICHA,
chuki mbaya sana kamanda.
 
Ulimsikia Lema majuzi kwenye Star TV alisema anataka kumuachia Slaa, agombee ubunge Arusha halafu 2005 Slaa nae atamuachia Lema, halafu Slaa atagombea urais 2005 wanaachiana vijiti, hapo ndiyo hujue Chadema ina wenyewe hakuna chaguzi za kupitisha wagombea.

mahaba na magamba yamekuzidi, unakimbilia kupost mpaka unaandika vitu vya ajabu!
 
Kabla ya yote tujiulize hili ni swali la msingi sana "KWANINI WANA-CHADEMA WALIO WENGI HAWANA IMANI NA ZITTO KABWE?" Mm Binafsi sina imani na John Heche(kiwango chake kidogo sana na ni mfata mkumbo), Lema(iQ yake iko chini sana na hapendi kuushirikisha ubongo wake kabla ya kuongea), Zitto(kibaraka wa magamba), Shibuda(Kibaraka mkuu wa magamba), Marando(haeleweki yupo CDM kwa ajili ya nini)...na wengineo!!
CHADEMA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE!!!
 
JMUsh1 nasubiri thread "should chadema fire heche?"
 
Last edited by a moderator:
atagombeaje ubunge 2015 wakati cdm kimebakiza miezi 10 kabla ya kukata roho
Narubongo Kaka yangu acha kuongea kwa hisia! CHADEMA wamewapeleka mputa magamba wako hoi! wamebaki kuwaza na kutafakari namna ya kuwapeleka moja moja mabwepande!
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya yote tujiulize hili ni swali la msingi sana "KWANINI WANA-CHADEMA WALIO WENGI HAWANA IMANI NA ZITTO KABWE?" Mm Binafsi sina imani na John Heche(kiwango chake kidogo sana na ni mfata mkumbo), Lema(iQ yake iko chini sana na hapendi kuushirikisha ubongo wake kabla ya kuongea), Zitto(kibaraka wa magamba), Shibuda(Kibaraka mkuu wa magamba), Marando(haeleweki yupo CDM kwa ajili ya nini)...na wengineo!!
CHADEMA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE!!!
Aisee nimeipenda sana comment yako ingawa najuwa kwa wana Arusha isipokuwa Ngongo watakupinga kwa nguvu zote.
 
Last edited by a moderator:
HECHE UNAPUPA SANA!UNA MIAKA MIWILI YA KUJIREKEBISHA KABLA HUJAOMBA DHAMANA HIYO, ITUMIE VIZURI KUFANYA MAMBO YA MSINGI NA SIO KUANZA KAMPENI ZA kujinadi
 
View attachment 61858 HECHE yuko sawa ila ZZK alikosea sana na ndio maana mlimtukana sana na kumuita majina yote sasa umemuanza na BEN WA SAANANE
Ni lazima tufikie hatua turudi mezani tukague faida na hasara.Huwezi kuwa msaliti wa vijana kwa kuingia kwenye narrow interest.Ahadi kuinua BAVICHA na iwe pltaform ya kuwapika vijana wengi kiuongozi haijafikiwa kwa kiwangio sasa,unaibuka kutaka wewe uanze maandalizi ya ubunge na kuwaacha vijana kwenye mtaa?huu ni usaliti.Achia uenyekiti ujiimarishe kama wengine kugombea ubunge ama imarisha BAVICHA kwa muda huu.Nothing more nothing less!
 
Mwita Maranya, anakanusha anasema Heche ajasema kama anataka kugombea ubunge Tarime aliongea nae.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom