Jogoo wa Kichina ataga !!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Jogoo wa Kichina ataga

6245758.jpg

Moja ya majogoo ya Kichina
Saturday, February 11, 2012 12:16 PM
Shirika la habari la egynews limeripoti kuwa, Wasomi na wataalamu nchini China wamepatwa na kiwewe cha mwaka, pale waliposhuhudia Jogoo lisilo la kawaida, ambalo linameshataga mayai kumi na manne 14.
Shirika la habari la egynews limeripoti kuwa, Wasomi na wataalamu nchini China wamepatwa na kiwewe cha mwaka, pale waliposhuhudia Jogoo lisilo la kawaida, ambalo linameshataga mayai kumi na manne 14.
Wasomi hao wameshaanza utafiti wa kina ili kujua imekuwaje na ina athari gani? Televisheni ya China imesema kuwa, tukio la kutaga kwa Jogoo limezua gumzo kubwa katika mitaa ya Uchina. Baadhi ya Wachina wanaenda katika shamba liliopo mji wa Shandong Liaoche anapofugwa jogoo huyo ili kumshuhudia na maajabu yake.

Jogoo huyo ana kilo tatu 3 na ameanza kutaga tangu zamani, na yai lake la mwisho ni tarehe 7/2/2012. Na yai la jogoo huyo ni kubwa kuliko yai la kawaida.

Wakati huo huo duru za kiusalama wa chakula huko China zinaripoti kuwa, maafisa wa afya wanachunguza matukio yanayojulikana katika vyombo vya habari kama (YAI MPIRA), ambapo kiini cha yai kikichemshwa kinakuwa kama vigoroli vya mpira na kuvutika vutika
 
Hilo jogoo litakuwa na tabia za kibwabwa halina dili. Nachotoka kujua ni nani alilipanda. Jogoo mwenzake au? au ndo mambo ya maabara
 
Hilo jogoo litakuwa na tabia za kibwabwa halina dili. Nachotoka kujua ni nani alilipanda. Jogoo mwenzake au? au ndo mambo ya maabara

Kuna bwabwa mpaka Jogoo???????
 
In china kila kitu chawezekana
nlishangaa kusikia pia mayai huwa yanatengezwa na kiwanda na kuuzwa mitaani kama kawaida.
 
Mbona jogoo kutaga ni kawaida,hasa akizeeka,maana kitaan kwetu(kijijini) nilishamshuhudia jogoo akitaga!mayai yake yalikuwa madogo kiasi kuliko yale ya kuku wa kawaida!wazee walituambia ni kawaida kwa jogoo mzee kutaga yai au mayai kadhaa then ana rip
 
Hakuna cha mchina wala nini. Haya mambo siyo maajabu kwani yana scientific explanation. Homonal/physiological abnomality. Kuna watu kama akina semenya, anaweza kuonekana na mwanamke kumbe ndani ana maumbile ya kike. Usisahau Bagamoyo kuna mbuzi dume rijali lakini anakamuliwa maziwa na yananywewa.
Kweli mchina ni mchina tuuuuuuuuuu.
 
Back
Top Bottom