Jogoo wa Kichina ataga !!

Kweli mchina ni mchina tuuuuuuuuuu.

mchina noma kwani ufeki wa vitu vyao umekwenda mbali zaidi kiasi cha wananchi kuamini hata ukizaa na mchina kwa vyovyote vile mtoto huyo hatadumu na atafariki kwa imani kuwa naye atakuwa feki
 
Duu,bora huyo,hapa kwetu kuna jogoo lina hormone za mbwa yaani akija mtu tuuu atakimbizwa mpaka akome,na akikamatwa ni full kuraruriwa,alafu kibaya zaidi anatukimbiza hadi sisi,tatizo ni kwamba hana jina angekuwa na jina nadhani ukimwita tuu angetikisa mkia kama afanyavyo mbwa!!!
 
Back
Top Bottom