Nganenepa ang'atwa na nyoka; Ahadi 10 za mwana TANU; Kiburi si Maungwana, Mwenge kijiji cha Mahurunga (kijana Dadi); Kana kansungu, umwelu (Kalegesye); Bwana matata; Lyamba lya mfipa.
Wakuu mko vizuri kwa makumbukumbu. Mi mwenzenu....!!Nganenepa ang'atwa na nyoka; Ahadi 10 za mwana TANU; Kiburi si Maungwana, Mwenge kijiji cha Mahurunga (kijana Dadi); Kana kansungu, umwelu (Kalegesye); Bwana matata; Lyamba lya mfipa.
Safari yenye mkosi; Kapulya mdadisi; Mwampelwa the tax collector.
Kweli Mbuzi we Ni Mzee.
Huyo jamaa akiitwa Kalagesye, kwenye kitabu cha kingeleza std six kama sikosei. Zamani raha, kipindi cha king`eng`e watu wakimwona mwalimu anakuja class wanasepa kupitia dirishani, maana ilikuwa soo.
Mbona hivi ni vya miaka ya 80?Kweli Mbuzi we Ni Mzee.
Kweli ndugu yangu ila inategemea na mahali mtu uliposoma, mfano mimi nilianza std One kabla ya Mbuzi Mzee, na nikahamia nchi nyingine ambapo hivi vitu havikuwepo.Mbona hivi ni vya miaka ya 80?
Sizitaki mbichi hizi...........tupe na shairi lake