Jogoo Aliyesema... Mnamkumbuka?!

197633_176804562449870_55589780_n.jpg

Mkuu, unanikumbusha mbali sn yaani BBL/P(Born Before Laptop and Phones),
Nakumbukia pia hadithi ya Kawambwa na kapu la Karanga, Shairi moja pia Karudi baba mmoja toka, safari ya mbali......
Amakweli siku hazigandi
 
Jamani enzi za Mwalimu raha sana. Kila siku nina penseli na vifutio tofauti kwa mchezo wa kuputa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom