Kamuulize mke wake! Anatuhusu nini sisi?Wakuu naomba kujuzwa huyu mheshimiwa mbona simsikii kabisa na bungeni hakuwepo safari hii. Yuko wapi?
Nimeamini ukiwa ccm ni sawa na kuingia kwenye genge la wachawi ukienda kinyume na wenzio wanakumaliza.Ndugai yuko katika shinikizo kubwa la kichama na kiserikali kwa kauli yake aliyoitoa bungeni(dharau zenu kazifanyeni huko huko serikalini)
Kauli yake imesababisha kutolewa vitisho na wakuu wake wa chama na ata watu wa serikali kwamba amemdharau rais ambaye ni mwenyekiti wake na pia kuitukana serikali
Kamuulize mke wake! Anatuhusu nini sisi?