Joaquim Chissano wins the the Mo Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership

wabongo bwana yaani jamaa walikuwa wanakesha kuomba dua MKAPA aiipate hiyo zawadi duh sio utani yote kwa sababu yy ni CCM angekuwa yy CHADEMA mngesemaje?

haya hongera chissano kupata zawadi.
 
infact Mkapa yupo kundi moja na kina Sani Abacha, Mobutu na wengine wanatofautiana tu amount walizoiba ila mionyo yao na tamaa zao zinafanana kabisa;

yebo yebo,
haya sasa majungu,hauwezi kumfananisha mobutu 9ngebe ya zabanga)na mkapa hata siku moja,yebo yebo acha chuki binafsi,

pamoja na wizi wa mkapa,mie bado naona kwa jicho na taswira kali ya kwamba Mkapa ndiye rais aliyejitahadi kuweka sera nzuri ya kuinua uchumi na maendeleo.Kina Jk ndio walikuwa wanamkwamisha pamoja na EL,ninaandaa ripoti kamili ili kuonesha kwanini namtetea mkapa na kwanini nasema Mkapa aliangushwa na timu ya wanamtandao..

ni mambo gani matano yebo yebo unafikiri Mkapa alikosea?

Kumfukuza Aliyekuwa mkurugunzi wa PPF mataka-Je akuzingatia maadili ya uongozi?

Kumlazimisha CDF wa kipindi kile Mbona je akuzingatia nidhamu ya jeshi?

Je suala la kuwaondoa Mawaziri walioboronga kipindi chake,Je akuzingatia utawala Bora??

Kuruhusu Kuanzishwa kwa tume ya haki za Binadamu na Utawala,Je Mkapa akuzingatia haki za Binadamu??

Kuhakisha hazina ya pesa ya kigeni inaongezeka,kuuongeza ukuaji wa uchumi ,je Mkapa akuzingatia kukua kwa Uchumi wa Tanzania??

Kuwezesha kujengwa kwa uwanj wa kisasa wa Taifa,Je mkapa AKuzingatia Maendeleo ya soka katika nchi yetu??

ujenzi wa barabara zote na mambo ya Mkukuta,Mkurabita,TAsaf,MMEM Je Mkapa alikuwa ataki maendeleo ya eleimu,afya na Elimu.??si alikwamishwa na watendaje

narudia tena hakuna mtu aliye perfect but Mkapa has done a lot to this country,
naomba kuwasilisha
 
Honestly, nampongeza Chissano and am happy kwa ushindi wake kuliko ungeenda kwa Fisadi ANBEM!

Hapo ndipo ulipo fikia fisadi Mkapa watanzania wenzio tunaomba na kufurahi ushindi uende hata kwa mtoka mbali kuliko wewe!!
 
ila heshima ya mkapa bado iko pale pale hata huko majuu

His days in "good" fame are numbered. Mporonyoko wa umaarufu wa Mkapa umeshaanza kujionyesha waziwazi. Kushindwa kwake kuchukua tuzo ya Ibrahim MO foundation ni mfano mzuri.

Tusubiri tuone atakavyozidi kuaibika. Mtu huwezi kuwa very arrogant halafu ukawa unadunda tuuu...
 
yebo yebo,
haya sasa majungu,hauwezi kumfananisha mobutu 9ngebe ya zabanga)na mkapa hata siku moja,yebo yebo acha chuki binafsi,

pamoja na wizi wa mkapa,mie bado naona kwa jicho na taswira kali ya kwamba Mkapa ndiye rais aliyejitahadi kuweka sera nzuri ya kuinua uchumi na maendeleo.Kina Jk ndio walikuwa wanamkwamisha pamoja na EL,ninaandaa ripoti kamili ili kuonesha kwanini namtetea mkapa na kwanini nasema Mkapa aliangushwa na timu ya wanamtandao..

ni mambo gani matano yebo yebo unafikiri Mkapa alikosea?


Kumfukuza Aliyekuwa mkurugunzi wa PPF mataka-Je akuzingatia maadili ya uongozi?

Kumlazimisha CDF wa kipindi kile Mbona je akuzingatia nidhamu ya jeshi?

Je suala la kuwaondoa Mawaziri walioboronga kipindi chake,Je akuzingatia utawala Bora??

Kuruhusu Kuanzishwa kwa tume ya haki za Binadamu na Utawala,Je Mkapa akuzingatia haki za Binadamu??

Kuhakisha hazina ya pesa ya kigeni inaongezeka,kuuongeza ukuaji wa uchumi ,je Mkapa akuzingatia kukua kwa Uchumi wa Tanzania??

Kuwezesha kujengwa kwa uwanj wa kisasa wa Taifa,Je mkapa AKuzingatia Maendeleo ya soka katika nchi yetu??

ujenzi wa barabara zote na mambo ya Mkukuta,Mkurabita,TAsaf,MMEM Je Mkapa alikuwa ataki maendeleo ya eleimu,afya na Elimu.??si alikwamishwa na watendaje

narudia tena hakuna mtu aliye perfect but Mkapa has done a lot to this country,
naomba kuwasilisha


Mheshimiwa sina sababu ya kuwa na chuki binafsi na Mkapa. Kitendo cha yeye kuwa president aliyepigiwa debe na Nyerere tena hatharani alishaniacha mbali sana...!!

Wewe unazungumzia mambo ambayo Mkapa ALIKOSEAkwenye Uongozi wake. Tafathali rejea post hii ya Mtanzania inayoweka bayana baina tofauti ya hoja:

Mkomboziufisadi,

Kila mtu hufanya makosa, hata Nyerere alifanya makosa mengi tu. Uwizi au ufisadi ni jambo la kujitakia wala sio kosa la bahati mbaya.

Wakati Mkapa anaamua kutuibia majengo yetu, migodi yetu nk. Alijua alikuwa anafanya nini. Tutamsamehe kama tu ataturudishia mali zetu kwanza.

Vinginevyo aendelee kufaidi hizo pesa za wizi na misaada anayopewa na wahisani wake Ulaya, sisi tutaendelea kumzomea mpaka anaenda kaburini.


Alamsiki
 
Hongera sana Mkapa nampongeza kwa kushindwa kwa kishindo sala za watanzania wanaomuamba aeleze alivyofisadi nchi zimefika.

Tunashukuru sana kamati ya mchakato imeleta mtu aliyetegemewa.
 
Habari nilizopata punde zinasema aliyekuwa Rais wa Msumbiji Joachim Chisano ameibuka kidedea kwa kupata Tuzo ya Mo Ibrahim.
Soma

Mozambique ex-leader wins prize

Joaquim Chissano led Mozambique for 19 years
Former Mozambique President Joaquim Chissano has won the first Mo Ibrahim prize rewarding a retired African head of state for excellence in leadership.
Mr Chissano, who is credited with bringing peace to Mozambique, had been seen as a frontrunner for the prize.

The prize, announced by former UN head Kofi Annan, is worth $5m (£2.5m) over 10 years, and then $200,000 a year.

Mobile phone millionaire Mo Ibrahim is funding the project in the hope it will help improve governments' performance.

His decision not to seek a third presidential term reinforced Mozambique's democratic maturity

Kofi Annan on Joaquim Chissano


Profile: Joaquim Chissano
Mozambicans hail award

The Sudanese businessman also hopes it will increase Africa's self-sufficiency and bring a day when the continent's people no longer need to live on aid.

Mr Annan chaired the panel that awarded the first edition of the prize, billed as the largest of its kind.

"It is (for) his role in leading Mozambique from conflict to peace and democracy that Chissano has made his most outstanding contribution," Mr Annan said after announcing the winner.

"This remarkable reconciliation between opponents provides a shining example to the rest of the world and is testament to both his strength of character and his leadership," he said.

After winning independence from Portugal in 1975 Mozambique suffered a civil war that lasted until 1992.

Wider role

Mr Chissano was the country's president from 1986 to 2005. He also served as chairman of the African Union in 2003 and 2004, and has worked as a UN envoy.

Mr Annan praised Mr Chissano's role at home and more widely in Africa.

"His decision not to seek a third presidential term reinforced Mozambique's democratic maturity and demonstrated that institutions and the democratic process were more important than personalities," he said.

"He was a powerful voice for Africa on the international stage and played an important role in pushing debt relief up the agenda."

Mr Chissano is something as a rarity in Africa as a leader who has left office with his reputation intact, says BBC southern Africa correspondent Peter Biles.

The panel of judges also included the former Irish President, Mary Robinson, Finnish President Martti Ahtisaari and the head of the Organisation of African Unity, Salim Ahmed Sali.

They assessed the relative merits of 13 African former heads of state, all of whom left power in the past three years.

Among these at least six took power by staging coups.

Source: http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7056159.stm
 
We unaishi chini ya mwamba nini...? Thread kibaoooo zimeanzishwa kuhusu hili ina maana wewe hujaziona? Au unataka kujaza nafasi tu?
 
Nadhani sasa atapata nafasi ya kujibu tuhuma. ALiogopa kujibu akijua kwamba atawapa ushahidi wa kumuengua, kumbe LA KUVUNDA HALINA UBANI... AMESHAVUNDA sasa hata Butiku rafiki yake amemtosa, Warioba alijaribu kuuma na kupuliza lakini MOYONI anajua ananuka. Mkapa rudi nyumbani ueleze UMMA ama uombe radhi na kurudisha mali zetu... vinginevyo pitia huko huko uende China ulikoandaa makazi ya dharura mambo yakiharibika
 
Hiyo panel iliyoteuliwa kuchagua ni vichwa vitupu..hakuna mbabaishaji pale. Wanawajua credits za marais waliokuwa candidates. Ila Chissano amemwacha mbali sana Mkapa, ukiachilia mbali umakini wake, masuala ya amani na uongozi uliotukuka; uchumi wa msumbiji ulikuwa unakua kwa kasi kubwa sana ukilinganisha na wa kwetu waliokuwa wanadai 6%. Chissano akiwa mmojawapo wa vijana wa mwalimu JKN alifuata kwa makini mafundisho ya yule mzee, tofauti na Mkapa ambaye alianza kumchafua roho baba yake mapema kwa kutapanya na kugawa mali za nchi hovyo kama issue ya NBC etecetera. Anyway amevuna alichopanda,alikuwa na nafasi nzuri ya kushinda kama asingeweka ubinafsi, kutokujali na dharau zake mbele.
 
Halisi una maana kile kibanda cha Lushoto hakitoshi sasa amenunua kajumba huko Sanya.... (ya Uchina) maana ingekuwa Kisangara Juu ingekuwa kasheshe!
 
Nyani

"My Girl Gotta A Girlfriend
I just found out but..."

Tafadhali fafanua kidogo mkuu.

Thanks

...my girl gotta girlfriend, I just found out but it's alright!
as long as I can be with her too..
it really is not a problem...
Cuz I'ma make it do what it do
Cuz having two chicks, it's better than no chicks...
I rather just join in, keep my girl, and the other one too.....
 
...my girl gotta girlfriend, I just found out but it's alright!
as long as I can be with her too..
it really is not a problem...
Cuz I'ma make it do what it do
Cuz having two chicks, it's better than no chicks...
I rather just join in, keep my girl, and the other one too.....


Nyani,

Makubwa hayo!
 
mtanzania,
sikatai mkapa ni fisadi na amevuna vya kutosha shamba letu kubwa ila at least alionesha uwajibikaji wakati mwingine,kumbuka suala la kina Idd Simba..ila huyu muungwana aliyewaacha kina msabaha huku wanahusika moja kwa moja na sula la RDC ni ufisadi mkubwa.

Alikula kiapo cha kulitumikia taifa kwa uaminifu sidhani kama kujilimbikizia mali, kufanya biashara ikulu na ubadhirifu wa hali ya juu ndio malipo ya uwajibikaji wake. Yani leo mtu kutimiza wajibu wak-e malipo ni UFISADI?
 
Back
Top Bottom