last supper
New Member
- Jul 30, 2018
- 1
- 0
hlo Ndo muhm umeongea kamandaWote mnà taka kwenda jkt??? Umesha andaa eneo la kwenda kufanya usaili??? Umesha fahamu kila mkoa wilaya wana chukua vijana wangapi??? Kwa nafasi za jkt??? Jme jiandaaje??
hlo Ndo muhm umeongea kamandaWote mnà taka kwenda jkt??? Umesha andaa eneo la kwenda kufanya usaili??? Umesha fahamu kila mkoa wilaya wana chukua vijana wangapi??? Kwa nafasi za jkt??? Jme jiandaaje??
karibu na jkt mgulanikuna jeshi la wokovu lipo pale kurasini, Interested??
haa haaa
Achana na wapuuz future yako anaijua MUNGU kakamkuu kuendelea na shule inawezekan komb yangu ilibalance vzur kabsa tatizo hal ya maish anyway ncjielez sanaa nyie wasomi someni
Wenzako mwaka huu wenye kozi ka hiyo na zingine za afya mpk ma nesi wamekula shavu huko jkt la kuenda JWnina diploma ya clinical officer nataka niende jkt kwa watu wenye uzoefu wa haya mambo naweza kuchomoka na elimu yangu hii
jamaniKwa hiyo form four yako kama umezidi miaka 21 sahau kwenda kwa utawala huu nenda mafunzo ya mgambo kwa sababu naona una dalili zote za umaskini
waliwachanganya na wale wa degree waliotoka uraiani mkuuWenzako mwaka huu wenye kozi ka hiyo na zingine za afya mpk ma nesi wamekula shavu huko jkt la kuenda JW
Ndio mkuu kwanza walianza kuchukua uraiani wenye bachelor tu walipoona ni wachache nd wakaongezea na walio jkt mpk ma nesi wenye cheti wakala shavuwaliwachanganya na wale wa degree waliotoka uraiani mkuu
ngoja nicheki huu mwaka mkuu nikaombe mungu maana hakuna namnaN
Ndio mkuu kwanza walianza kuchukua uraiani wenye bachelor tu walipoona ni wachache nd wakaongezea na walio jkt mpk ma nesi wenye cheti wakala shavu
Nadhani tutakua wote huko mkuungoja nicheki huu mwaka mkuu nikaombe mungu maana hakuna namna
poa mkuu ila naona mpaka sasa kimya hawajatoa nafasi vp mwaka huu au ndo unapita empty mkuuN
Nadhani tutakua wote huko mkuu
Ni mwezi huu huu zinatangazwa mkuu tue na subira kidgpoa mkuu ila naona mpaka sasa kimya hawajatoa nafasi vp mwaka huu au ndo unapita empty mkuu
Hivi huko makambini hakunaga wachezajiHaya, JKT wakajenge tuu ukuta wa Ikulu Dodoma. Siku nyingine TUKOME KABISA, Tusije tukarudia kuchezea shilingi kwenye tundu la choo.
Kuishi tu hapa Tz ni zaid ya kucheza kamali jomba wacha tukaicheze na hii tuoneHaya, JKT wakajenge tuu ukuta wa Ikulu Dodoma. Siku nyingine TUKOME KABISA, Tusije tukarudia kuchezea shilingi kwenye tundu la choo.
Usijari ndugu, jitoe ufahamu ukabeti kete yako huenda Mungu atakujalia, na ukikosa pia utarudi kitaa kuanza kuhustle upya (km hauna sapoti ya wazazi na ndugu km Mimi) lakini kama kwenu pesa zipo usijari hata ukikosa utarudi kitaa watakupa pesa ya kuanzia maisha ya uraiani kwa mara nyingine. Ni wewe tuu nduguKuishi tu hapa Tz ni zaid ya kucheza kamali jomba wacha tukaicheze na hii tuone
Jamaa alisema hatak kuongeza askari wakalinde vifaruKwan zinatoka lin? Mwakajana zilitoka kama leo