JKT 2018 updates

Hoteli ya Lahe Mwanza inatafuta walinzi 3 haraka kutoka JKT au Mgambo. Mshahara mzuri.no 0655290084
 
Mkuu una uzalendo au njaa ndio zinakupeleka Jeshi..?

Bora uende Jeshi la Wokovu kama huna uzalendo na nchi yako
 
Mwezi Wa 2_3 kuondoka mwezi Wa 4.labda kuwe Na mabadiliko.
 
Bado ,Labda wataanza Usaili mwisho wa mwezi wa 11,
Ila Jkt ya sasa vyuma vimekaza sana coz saivi watu wanaenda wanapigishwa mzigo weeee miaka miwili y'a mkataba ikiisha zaidi ya nusu ya watu mnaweza jikuta mnarudishwa home unarudi tena kuanza maisha ya kitaa so mi nawashauri muangalie na vitu Vngn vya kufanya coz kule nako ckuhizi ajira bado yakubahatisha, kuna tetesi nyngn kuwa op magu watarudishwa baada ya mkataba kuisha mwezi ujao
Kule unaenda kupata elimu mbalimbali kijana, ikiwemo uzalishaji mali.
 
Back
Top Bottom