JKT 2018 updates

nina diploma ya clinical officer nataka niende jkt kwa watu wenye uzoefu wa haya mambo naweza kuchomoka na elimu yangu hii
 
Haya, JKT wakajenge tuu ukuta wa Ikulu Dodoma. Siku nyingine TUKOME KABISA, Tusije tukarudia kuchezea shilingi kwenye tundu la choo.
 
Kuishi tu hapa Tz ni zaid ya kucheza kamali jomba wacha tukaicheze na hii tuone
Usijari ndugu, jitoe ufahamu ukabeti kete yako huenda Mungu atakujalia, na ukikosa pia utarudi kitaa kuanza kuhustle upya (km hauna sapoti ya wazazi na ndugu km Mimi) lakini kama kwenu pesa zipo usijari hata ukikosa utarudi kitaa watakupa pesa ya kuanzia maisha ya uraiani kwa mara nyingine. Ni wewe tuu ndugu
 
Back
Top Bottom