JK unavunja Baraza la Mawaziri unamuweka nani??

Status
Not open for further replies.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Rais wangu kama una kusudio la kuchagua Baraza jipya la Mawaziri ili kuziba mianya katika baraza lako liliopwaya kutokana na kashifa mbalimbali na utendaji usio ridhisha kwa umma na kukiuka maadili ya utumishi wa umma, na hawakuweza kufikia malengo yale uliyowawekea kutokana na semina elekezi lukuki ulizo wapa pale kwenye Hoteli ya engudoto!Mimi wasiwasi wangu usije ukaruka majivu ukakanyaga moto!kwani mimi nionavyo sijajua utawatoa wapi hao mawaziri wapya! Au utateua hata waupinzani ili kuokoa nchi yetu isiende mlama??
Hebu tuangalia ni waziri gani au mbunge anafaa kuwa waziri??
 
Niliuliza hapa ubaoni je JK anavunja baraza la mawaziri ninani anamuweka??lakini mimi nimeona katurudisha nyuma baada ya kwenda mbele!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom