JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

Ongeza na sifa hizi:
  • Ni Rais wa kwanza tokea tupate Uhuru kutumia muda wake kuzurura ulimwenguni kwa safari zaidi ya 360 ndani ya miaka sita tu ya utawala wake ambazo ni sawa na jumla ya safari walizofanya wenzake woote!
  • Ni Rais wa kwanza 'kuingizwa mjini' kwa kudanganywa na kusaini nyaraka kadhaa nyeti ambazo baadae aligundua kuchomekewa na kuzifuta!
  • Ni Rais wa kwanza kuchaguliwa kwa kishindo kikubwa katika uchaguzi uliohusisha upinzani lakini ambaye kwa kipindi kimoja tu cha miaka mitano alichokwa karibu na kila mtu hadi ilimbidi kuchakachua ili kubaki madarakani!
  • Ni Rais wa kwanza kufunga safari kwenda kuomba vyandaruwa na kurejea akijitapa kwamba safari yake imezaa matunda - (Ya kupewa vyandaruwa?)
  • Ni Rais wa kwanza kutumia mabavu kuwanyamazisha wanaompinga kwa kutumia Jeshi linaloongozwa na shemeji yake kuwauwa wananchi wengi kwa risasi zaidi ya Rais yeyote aliyemtangulia.
  • Ni Rais wa kwanza kushindwa kuchukua hatua dhidi ya vibaka uchumi na mafisadi na ambao yeye mwenyewe pia ni mtuhumiwa.
  • Ni Rais wa kwanza kuiongoza nci kisanii sanii na kwamba analolisema si analolidhamiria.
  • Ni Rais mwasisi wa udini, ukabila na umakundi makundi katika chama chake na nchi.
Na wengine ongezeni niliyoyasahau, maana ametenda meengi.

Kama ni ngoma wewe unajua kuicheza, yaani hujatoka nje ya bit hata kidogo.
 
Ni kweli kafanya mengi. Lakini hajafikia kuwazidi waliomtangulia. Huo ni uchokozi kwa majeruhi wa mfumuko wa bei na wanaharakati. Labda una lako jambo.

Vilevile ungejaribu kuainisha ni yepi mengi kayafanya na mengi yepi walomtangulia walishindwa.

Lakini kwako Ee akilitope,

Unaonekana ni mtu wa karibu sana na serikali hii dhalimu ya tope mwenzako JMKwete. (Nisamehe) Lakini kaka ah!! sijui dada kweli umepima vichwa vya marais wote wanne ukaona Kikwete kawapiku wote kabisa!!? Yaani hata Nyerere!! Think twice tena. Ndiyo kwa Mkoa wa KG, kuna watu walikuwa hawaijui lami!! na kwingineko ulikowaza. Je kwa waloijua lami!! Ila nilichoona.

Ni rais wa kwanza kufungua mwanya kwa wakuu wa idara toka H/Teacher hadi makatibu wakuu, wa mwenye uwezo wa kuiba na aibe arimradi asikutwe na ushahidi wa waziwazi akajiudhuru au kuhamishwa na posho juu. Ndicho mnacho mpendea, kunakingine!! Labda na ku....... Aah!!
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

Usipende kufanya utani katika mambo yahusuyo uhai na ukamilifu wa maisha ya jamii ya nchi iitwayo Tanzania
 
Tatizo lako ulitaka kikao cha CC pamoja na NEC kiwafukuze wanachama ambao wewe ulitaka waondoke kwa matakwa yenu sasa unapoona hakuna ulichokitegemea unaanza kulalamika.

Wanakurupuka na mambo yao wanasema wana magamba ya kuvua na baadae hawana wanawasingizia waandishi wa habari wamepotosha umma mbona hawana msimamo?
 
Unalazimisha sifa ambazo hata yemwewe atajua tu unamsanifu. Kayaweza aloyaweza lakini si kushinda Mwinyi.
 
2
New 100 MW Gas Based Power Plant at Ubungo, Dar es Salaam – New
Government of United Republic of Tanzania (GoT)
Ubungo, Ilala District - Dar es Salaam
To generate power using natural gas to increase generation capacity in the grid network, will be connected to the National Grid Control Center (GCC) at Ubungo, Dar es Salaam.
2011​
3
New 60 MW Heavy Fuel Oil Based (HFO) Power Plant at Nyakato, Mwanza – New

Government of United Republic of Tanzania (GoT)
Nyakato, Mwanza region
To generate 60 MW power using Heavy Fuel Oil (HFO) to increase generation capacity for in the grid network. This will also serve as base load in northern regions for load supply in the mining areas, will be connected to the National Grid Control at Nyakato substation, Mwanza.
2011​


Kiwira Coal to Electricity Project – Phase I-200MW, Phase II-200MW; Fuel from the Kabulo ridge Coal Reserves - New


Government of China
Financing Committed for Phase I of 200MW

Kyela, Rungwe and Mbeya Districts
The Mtwara – Mbamba Bay – Lake Tanganyika Development Corridor.
Kiwira Coal – to - Electricity power project involves expansion of the existing power facility, in Phase I & II up to 400MW, Construction of transmission line and the colliery redevelopment respectively, to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 400 MW.
Phase I - 2011​
Phase II - 2014​


100MW Independent Power Tanzania Limited (IPTL) Power Plant - Conversion
World Bank - IDA
Tegeta, Kinondoni District, Dar es Salaam
To convert 100 MW IPTL plant from using expensive Heavy Fuel Oil (HFO) to using cheap natural gas.
2011​


Kinyerezi 240MW Gas Based Power Plant – New
African Development Bank (AfDB),
Tanzania Electric Supply Company Limited
Kinyerezi, Temeke District - Dar es Salaam
To generate power using natural gas to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 240 MW.
2013​

1
Rumakali hydropower Plant - 222 MW (Expression of Interest - EoI)/ RFP
Word Bank
International Development Agency (IDA) Funds
Makete District, Iringa region
To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 222 MW.
2018


Zambia – Tanzania (200 MW) interconnector (Feasibility Study to be Revised)

Multi-lateral Shared Scheme for SADC Countries
Interconnection to Southern African Power Pool (SAPP) to SADC region comprised of 12 countries. SAPP project include Zambia-Tanzania-Kenya interconnection, Malawi-Mozambique interconnection and DRC-Zambia interconnection.
To pool their electricity-supply resources for their mutual benefit and economic growth of its member countries. The main goals of the SAPP are coordination and cooperation in the planning and operation of the various systems to minimize costs while maintaining reliability, and the equitable sharing of the resulting benefits.
2012​


Ruhudji hydropower Plant (358 MW) (Expression of Interest - EoI)/RFP
Soliciting funds - Open for Prospective Financiers
Njombe District, Iringa region
To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 358 MW.
2015​
3
Mchuchuma Coal fired Power Plant
Phase I - 200 MW:
Soliciting funds - Open for Prospective Financiers
Ludewa District, Iringa region, Provide a 400 kV Mchuchuma- Mufindi Spur to the National Grid Extension
To generate power using Coal fuel to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 200 MW.
2018​
4
Mchuchuma Coal fired Power Plant
Phase II - 200 MW
Soliciting funds - Open for Prospective Financiers
Ludewa District, Iringa region, Provide a 400 kV Mchuchuma - Mufindi Spur to the National Grid Extension
To generate power using Coal fuel to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 200 MW.
2011​


Development of 62 MW of Hydro Power Plant From Rusumo Falls (33% for Tanzania)

To be funded by member countries under Central Economic Development Corridor
The Tunduma – Kigoma – Kyaka Development Corridor
Connect the Tanzania National Grid From Rusumo Hydro to Burundi and Rwanda
Beyond year 2015 or earlier

2
Development of Stigler’s Gorge Power Project Phase I – 300MW

Soliciting funds - Open for Prospective Financiers
Rufiji District, Pwani region -TAZARA Corridor
To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 300 MW.
Beyond year 2015 or earlier
13
Development of Stigler’s Gorge Power Project Phase II – 600MW

Soliciting funds - Open for Prospective Financiers

Rufiji District, Pwani region
TAZARA Corridor
To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 600 MW.
Beyond year 2015 or earlier
14
Development of Stigler’s Gorge Hydro Power Project Phase III – 1200MW

Soliciting funds - Open for Prospective Financiers

Rufiji District, Coast region
TAZARA Corridor
To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 1200 MW.
Beyond year 2015 or earlier
15
Development of Kakono Hydro Power Project - 53 MW
Soliciting funds - Open for Prospective Financiers
Kagera region
To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 53 MW.
Beyond year 2015 or earlier
16
Development of Upper Kihansi with addition at Lower Kihansi
Hydro Power Project - 120MW

Soliciting funds - Open for Prospective Financiers
Rufiji District, Coast region
To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 120 MW.
Beyond year 2015 or earlier
17
Development of Mpanga Hydro Power Project - 144 MW
Soliciting funds - Open for Prospective Financiers
Rufiji District, Coast region
To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 144 MW.
Beyond year 2015 or earlier
18
Development of Masigira Hydro Power Project - 118 MW
Soliciting funds - Open for Prospective Financiers
Ruhuhu

To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 118 MW.
Beyond year 2015 or earlier
19
Development of Songwe Hydro Power Project - 340 MW
Soliciting funds - Open for Prospective Financiers
Songwe, Mbeya region
To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 340 MW.
Beyond year 2015 or earlier
20
Development of Taveta - Mnyera Hydro Power Project - 145 MW
Soliciting funds - Open for Prospective Financiers
Taveta, Mnyera
To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 145 MW.
Beyond year 2015 or earlier
21
Development of Igamba Hydro Power Project - 8 MW

Soliciting funds - Open for Prospective Financiers
Igamba
To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 8 MW.
Beyond year 2015 or earlier

Na tatizo la umeme hapa linatoka wapi kama hizi statistics ni real. Naomba mama yangu uache ubabaisha kwa statistics mfu zisizofanya kazi
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

Ni raisi anayeangukaanguka ovyo lakini hataki kujiuzulu
 
Mwisho wa ubaya ni aibu, aibu yenu haipo mbali maisha bora kwa kila mtanzania. Tumetubutu, tumeweza na tunasonga mbele.

Sijaona kusonga mbele taingia Jk kachukua uongozi zaidi ya vitu kupanda bei visivyo kawaida, kukumbatia mafisadi, kuingia mikataba fake, kuuza rasilimali zetu, kushindwa kuwa na kauli kama rais cjui nikwavile aliingia kwa wizi wa kura au la, mbaya zaidi anaongoza watu wenye utajiri wa rasilimali lakini ni masikini na hajui ni kwanini ni masikini. Kweli Jk you must resign
 
Watu kama nyie huwa mnatamaa sana na madaraka na hiyo inatokana na huenda mna njaa kali sana,sasa mkipewa nchi ndiyo itakuwa balaa zaid

Namshukuru sana JK kwa kuimarisha usalama kila sehemu ili kutulinda wengine ambao hatuna mawazo mgando kama yenu.

Mimi namkubali JK kwa mengi sana aliyoyafanya, namnukuu Mwl Nyerere kwa maneno yake kuwa Tatizo lenu mnaacha mema mnachukua ya kijinga

Kikweteeeeeeeeee oyeeeeeeeeeeeee!!!
Kidumu chama cha mapinduzi

Hata wewe umetumwa na kwakutoshirikisha ubongo umetumia masaburi umekuja kichwa kichwa hivo hivo take care!
 
Hayati Mwalimu Nyerere alipong'atuka alituachia megawatt 500 plus za umeme. Marais wote waliofuata baada yake wameongeza megawatt 300 tu. Fanya utafiti kabla ya kuandika.

Mkuu walete facts wazidi kujiona wajinga
 
500MG za uhakika, lakini waliofuata hasa huyu wa amau ya tatu na nne ameongeza ufisadi katika sekta hiyo unaotaka kumgharimu madaraka!

Siyo kwamba unataka kumgarim madaraka utamgarim soon
 
Yote ya yote Jk anajua kaboronga kuliko marais wote waliopita na watakaokuja
 
Back
Top Bottom