FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,816
- 109,094
dada ff kafanya au kaendeleza?
Hivyo vyote nilivyoandika hapo juu, kavikuta vya kabla yake, nnachosema mimi ni kuwa, Kikwete kwa wakati wake huu mfupi wa miaka 6 tu, katika hivyo alivyovikuta hakuna hata kimoja ambacho kwa uchache hajakifanya zaidi ya mara mbili yake.
Nashangaa sana wooote wasioyaona haya, hivi huwa mnamchukia kwa jina lake? Kwa rangi yake? Kwa chama chake? Kwa dini yake? Kwa mafanikio yake? Maana nashindwa kuwaelewa kabisa, mkiambiwa leteni basi ambacho hajakifanya, hamna hata mmoja anae hata thubutu kuja na chochote. Tafakari.