JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake
 
Kukaa kimya wakati mwingine ni umakini na upevu mkubwa kuliko kusema mambo yanayoanika ufinyu wa akili au ushabiki wa kijiweni. Ikalilaho.
 
ni rais aliyepitia misukosuko mingi
ni rais alikumbana na upinzani mkali
ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
ni rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
ni rais anayepambana na ufisadi mf richmond,epa,nk
ni rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
ni rais msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

namtakia kila la heri na kazi yake

hivi ni vigezo vya "ubora"?
Kwako ubora ni nini?

Kukaa kimya wakati mwingine ni umakini na upevu mkubwa kuliko kusema mambo yanayoanika ufinyu wa akili au ushabiki wa kijiweni. Ikalilaho.

Nadhani anapima upepo baada ya CC, NEC and the rest kushindwa kufanya maamuzi ya maana Dodoma. Week nzima wamekaa hawa wakubwa wanatoka na kauli za kuisifia serikali kuruhusu wakulima kuuza mahindi nje!
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

teh teh teh teh koh koh koh!twih twih!loh.kweli kua uyaone.
 
Kuzidisha Barabara
Kuzidisha Shule
Kuzidisha afya
Kuzidisha Uchumi
Kuzidisha Demokrasia
Kuzidisha Maji
Kuzidisha Kazi
Kuzidisha Viwanda
Utalii
Kupigana na Rushwa
Kwa haraka haraka hayo hapo juu kafanya kuliko Rais yoyote wa kabla yake.
 
Ni Rais aliyeweza kujenga shule nyingi za sekondari Tanzania,

Ni Rais aliyeweza kujenga barabara nyingi kwa kiwango cha lami katika mikoa ya pembezoni, (Handeni, Pwani, Kigoma, Rukwa etc)

Ni Rais aliyeweza kupeleka na kuongeza idadi kubwa ya wanafunzi wa Tanzania kwenda chuoni ...elimu ya juu

Ni Rais pekee ambaye ameweza kufuta utamaduni wa wakubwa kutopelekwa mahakamani East Africa.. (check mramba, mattaka, epa, etc

Ni Rais pekee aliyeweza kupeleka pesa nyingi serikali ya mitaani (wilayani) ...kazi iliyobaki ni kuwawezesha wananchi kusimamia hizo pesa, pesa zipo wilayani siku hizi..
 
Kukaa kimya wakati mwingine ni umakini na upevu mkubwa kuliko kusema mambo yanayoanika ufinyu wa akili au ushabiki wa kijiweni. Ikalilaho.

Tatizo tulilonalo watanzania wengi ni ushabiki wa kisiasa,unavyofikili wewe ni tofauti na ninavyofikili,we kataa haya nisemayo ila ukweli utabaki kuwa hivyo.
Huwezi linganisha Uongozi wa JK na Marais waliopita JK ameface challenges nyingi sana katika kipindi chake na hili linatokana na watendaji wake kuwa wabovu.na tumeshuhudia watu wakiwajibishwa siwez kukupa mifano ya waliowajibishwa ila natumaini unajua
 
Kuzidisha Barabara
Kuzidisha Shule
Kuzidisha afya
Kuzidisha Uchumi
Kuzidisha Demokrasia
Kuzidisha Maji
Kuzidisha Kazi
Kuzidisha Viwanda
Utalii
Kupigana na Rushwa
Kwa haraka haraka hayo hapo juu kafanya kuliko Rais yoyote wa kabla yake.
Bibie,'
Mgao wa umeme umekwisha?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuzidisha Barabara
Kuzidisha Shule
Kuzidisha afya
Kuzidisha Uchumi
Kuzidisha Demokrasia
Kuzidisha Maji
Kuzidisha Kazi
Kuzidisha Viwanda
Utalii
Kupigana na Rushwa
Kwa haraka haraka hayo hapo juu kafanya kuliko Rais yoyote wa kabla yake
.

usinchekeshe!
Unazidisha kwa vile una pakuanzia! Wewe nadhani ni msomi.Kama ni msomi basi unajua ilivyorahisi kusoma mada ya mtu na kuikosoa au kuiongezea. Anza kuandika ndio utajua ilivyo ngumu.
Amepambana na rushwa kivipi?
 
Tatizo tulilonalo watanzania wengi ni ushabiki wa kisiasa,unavyofikili wewe ni tofauti na ninavyofikili,we kataa haya nisemayo ila ukweli utabaki kuwa hivyo.
Huwezi linganisha Uongozi wa JK na Marais waliopita JK ameface challenges nyingi sana katika kipindi chake na hili linatokana na watendaji wake kuwa wabovu.na tumeshuhudia watu wakiwajibishwa siwez kukupa mifano ya waliowajibishwa ila natumaini unajua

Hii kweli inathibitisha kuwa hujui historia ya nchi yetu na ndiyo maana unatoa kauli kama hii. Nakushauri ukajisomee kwa makini historia ya Tanzania kuanzia Uhuru hadi sasa na baada ya hapo utajua kuwa uliropoka ila kumbuka msemo wa wahenga usemao "asiyejua maana haambiwi maana."
 
hao ndiyo wanachama wa ccm waliosalia. ni masaburi kwa kwenda mbele.

Tatizo la wabongo ni hapa mtu akifanya jambo zuri lazima apewe sifa zake tatizo letu ukisifia mazuri ya CCM basi umekuwa mwanachama,Mimi si mwanachama wa chama chochote ila kikwete is the best Presdaaaaa Utake usitake.Nchi hii tunahistoria nayo ilipotoka siyo kama ilivyo,ni selikali gani iliyopita mawazili wanashtakiwa kwa kutumia madaraka vibaya?

Nina shaka sana na ubongo wako kwenye kufikili
 
Kuzidisha Barabara
Kuzidisha Shule
Kuzidisha afya
Kuzidisha Uchumi
Kuzidisha Demokrasia
Kuzidisha Maji
Kuzidisha Kazi
Kuzidisha Viwanda
Utalii
Kupigana na Rushwa
Kwa haraka haraka hayo hapo juu kafanya kuliko Rais yoyote wa kabla yake.

Wapi aliteleza kidogo?
 
Bibie,'
Mgao wa umeme umekwisha?

Rais pekee aliyekwisha ongeza mitambo ya umeme amma iko tayari nchini amma iko kwenye mchakato wa kuundwa, kurasimiwa amma kufungwa kuliko mwingine yoyote wa kabla yake.
 
Back
Top Bottom