JK ndani ya siku ya walimu duniani kitaifa Songea

@ Libasket b
Ulinzi Upo wa kutosha???!, Maana Utabiri wa Shehe YAYA usije ukatimia bure!!.
-mi Simo :hand:
 
Jk kaingia lakin hamna shangwe za kutosha watu wengi wanasubir kusikia ataongea nini?
 
Mkuu hariri (edit) heading. Weka kwenye mabano "Live"

Tuko pamoja!!

Leo lazima a-collapse
 
Live TBC: Katibu wa walimu anakanusha kuwa "Kikwete hakujialika kwenye sherehe za CWT"
 
Live Tbc: Mgaya wa Tucta yupo pia. Ametajwa na ameshangiliwa kwa nguvu sana ... sijui maana yake nini...........ngoja tusubiri
 
Live TBC:MC anawaamuru walimu "lazima tufurahi bwana mzee yupo hapa"
MC anadhani anaongea na watu wa kijijini hajui tunamwona kwenye haya maandishi.
Wakuu mlioko jirani na tukio tupatieni kinachojiri huko
 
tusuburi ahadi ya kuwapa mikopo na kuwajengea nyumba bora bila kusahau malipo ya marupurupu yao na mishahara juu mwakani. ari zaidi.. kasi zaidi....
 
:A S 13::A S 13::A S 13:sikuipenda hii ya walimu kumualika JK kwa sikukuu yao, napanta wasiwasi CWT wamejitenga na msimamo wa TUCTA. Anyway ngoja tungoje tuone kama je tutafika.

kajialika mwenyewe hakupewa mwaliko na mtu. katumia mabavu tu!!
 
Live TBC: Maghembe anasema kuna mradi unaitwa Tanzania beyond tomowrrow unaonuia kufanya yafuatayo:

1. Kuweka wingu la internet katika kila shule (hapo sijamuelewa kabisa Prof)
2. Kufungua maabara za dijitali (digital) lila shule . amesahau kama shule nyingi hazina umeme
 
Live TBC: Maghembe sasa anafika mbali zaidi............

Anamuambia JK ampe "muda wa miaka mitatu zaidi" akamilishe malengo mbalimbali ya MoE. Anajipigia kampeni.
 
Live TBC: Maghembe anasema kuna mradi unaitwa Tanzania beyond tomowrrow unaonuia kufanya yafuatayo:

1. Kuweka wingu la internet katika kila shule (hapo sijamuelewa kabisa Prof)
2. Kufungua maabara za dijitali (digital) lila shule . amesahau kama shule nyingi hazina umeme

ndo maana nimetanguliza hapo awali kwamba prof ni bogas
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom