JK ndani ya siku ya walimu duniani kitaifa Songea

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Nipo ndani ya uwanja wa majimaji,hadi muda huu jk bado hajawasili uwanjani,gari la TOT liliingia ndani ya uwanja wa makutano limeamuliwa litoke,walimu wamekaa hawana furaha mpaka mc anawaambia akija rais bac tutoke huko tulipo kaa tuje kukaa mbele,isije muheshimiwa raisi akadhan bado tuko kwenye kale kamgomo..
 
ni kawaida yake kuchelewa huyo JK. hata kama amekwambia atakuja kwenye msiba wako na unatarajia kuaga mwili wa marehemu saa tano, yeye utamwona anatokea saa saba
 
Walimu waambiwa watoke nje wakaandamane wachache watoka kwenda kuandamana wengi wabaki ndani,mc hasisitiza sisi hatuna mgogoro lakin kama kuna mtu bado anamgogoro habak,aise walimu viburi weng wamebak
 
Eti walimu wamebeba mabango da km jk hatasoma ujumbe tosha''HATUNA MAKAZI NA TUNAISHI KWENYE BORA MAKAZI SI MAKAZI BORA''wengine 'MBONA HATUPANDISHWI MADARAJA NA MALIPO YETU YA LIKIZO VIPI?''
 
Walimu waambiwa watoke nje wakaandamane wachache watoka kwenda kuandamana wengi wabaki ndani,mc hasisitiza sisi hatuna mgogoro lakin kama kuna mtu bado anamgogoro habak,aise walimu viburi weng wamebak

Nakumbuka ile kauli-kama mtu hataki pilau yetu tutawapa wenye kuhitaji-kauli ya kishujaa kabisa hii. Sasa Mkwere ndio atakula jeuri yake
 
tupe more updates mkuu
unaweza kutuwekea picha pia? pls do
 
Da naweza sema walimu wamegoma kutoka nje kuandamana,wachache sana
 
Nimekuwa nikikutana na waalimu katika utafiti mara nyingi. Katika maongezi yetu, niligundua kuwa waalimu wengi wana kipaji kikubwa cha kuchanganua mambo ma hali, na wengi wao hawaridhishwi kabisa na hali yao ya maisha na utendaji wa serikali kwa ujumla. Ni kutokana na hayo nina imani kubwa kuwa wengi wao hawatampa kura Kikwete.
 
ni kawaida yake kuchelewa huyo JK. hata kama amekwambia atakuja kwenye msiba wako na unatarajia kuaga mwili wa marehemu saa tano, yeye utamwona anatokea saa saba

utingo sa7 atakuwa amewahi sana,may be sa tisa sijui huwa anatumia muda mwingi kwenye kioo kujipodoa yani sielewi kwnini huwa anakuwa out of time sana
 
Wahaya wana msemo huku ni " Kukumbuka shuka wakati kumeshakucha!" Bahati nzuri walimu "hawadanganyiki" kirahisi kama tabaka nyingine za wafanyakazi.
 
:A S 13::A S 13::A S 13:sikuipenda hii ya walimu kumualika JK kwa sikukuu yao, napanta wasiwasi CWT wamejitenga na msimamo wa TUCTA. Anyway ngoja tungoje tuone kama je tutafika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom