Papa D
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 753
- 182
Mheshimiwa Rais Wa Tanzania!
Imefika wakti nakuonea huruma jinsi mzigo wa uongozi wa Taifa unavyokuelemea. Sababu za kuelemewa na uongozi wa Taifa ni hizi:-
1. hukupata kura za kutosha kuongoza taifa hili ingawa tume ya taifa ya uchaguzi ilikutangaza mshindi
2. umejikuta ukiongoza nchi kwa kufuata ushawishi wa Dr. Slaa badala ya kufuata Sera za Chama chako.
3. Dr. Slaa ameonyesha uelewa mkubwa wa vipao mbele vya Taifa kuliko wewe ingawa umekaa kwenye mfumo wa kutengeneza Sera za Taifa kwa muda mrefu kuliko Dr. Slaa.
4. Dr. Slaa amekuwa na muda mwingi wa Kuandaa hoja zake na kuziuza kwa wananchi akitumia lugha nyepesi inayoeleweka kirahisi kwa Watanzania kuliko wewe na chama chako.
5.
6.
.
.
kama kuna mwenye nyongeza ya sababu nlizoainisha hapo juu, tafadhali orodhesha ili tumpelekee JK tayari kwa kumteua Rais Mtarajiwa aendelee kuwa bungeni.
KUTOKANA NA TISHIO HILI LA DR. SLAA, NAKUSHAURI UMTEUE KUWA MBUNGE ILI ASIWE NA NAFASI YA KUZUNGUKA NCHI NZIMA AKIUZA HOJA ZAKE KWA WANANCHI KWANI ANAUSHAWISHI MKUBWA KULIKO WEWE. UTAKAPOMUWEKA BUNGENI HATAKUWA NA NAFASI PANA KAMA ILIYONAYO SASA