JK kwenda Uingereza wiki ijayo

Hon. President , go go to uk. Don't worry we are here for you. We appriciate you effort to make our land better place for life.
 
Nenda na usirudi kamwe kwenye nchi ,we ni kidudu kibaya kutokea kwenye nchi umeharibu nchi yetu sana sijui ulizaliwaje
 
wivu wa kike JK asafiri asisafiri kinachowawasha nini kama mnawashwa mtulie majumbani kwenyu
 
Ukisikia mipasho/kebehi bungeni kwa vyama marafiki wa Uingereza na jinsi wanavohusishwa na "mahusiano ya jinsia moja" utadhani JK au viongozi wa serikali ya JMT hawatakanyaga tena Uingereza.

Hypocricy at its maximum measure!!
 
Hon. President , go go to uk. Don't worry we are here for you. We appriciate you effort to make our land better place for life.

Yesu na Maria!!! Watanzania tulikukosea nini ee Mungu hata laana ya namna hii ituangukie???!!!
 
Kiwete ni shabiki wa arsenal anakwenda kumuomba van persie hasiondoke arsenal wait utaona picha next week
Ila kwanini jamaa asibadilishwe cheo akawa wazirri wa mambo ya nje
 
Anaenda kufanya nini? Kweli huyu jamaa ni Vasco Da Gama.

Kama kawaida yake Vasco bajeti ya ofisi yake imepitishwa na sasa anaanza kuimung'unya huku wadanganyika wakifa kwa kukosa huduma za afya!!Hafai hafai hafai kabisa kuwa Rais.
 
Nyie hamjui,mwenzenu anataka aingie kwenye guiness book of records
 
Mzee tanguliza saalam zetu za dhati, kwanza kabisa kwa malkia mpendwa Bi Elizabeti, mwambie wanao wazima, ila rumba kali ile mbaya. Pili salamu zimfikie Rooney wa Man U Mungu amajalie afya afunge mabao zaidi awalize mahasimu wetu msimu ujao. saalam pia zimfikie Mzee Peter Higgs mwana Fizikia mahiri, malkia amjalie U Sir angalau. Mwisho kabisa Saalam zimfikie Lady Madonna mwambie like a prayer upinzani TZ wanna take us there. Ujumbe Kuvunjika kwa mwiko siyo mwisho wa kusonga ugali.
 
Washwa washwa!! Then after ataenda msiban popote ulipo Africa,make naye kwa misiba noma!!
 
Back
Top Bottom