Elections 2010 Jk kuvunja tena sheria ya uchaguzi leo pemba

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
Hadi sasa wana jf jk hajafika pemba alikotakiwa kuhutubia na hapa watu wameanza kutawanyika,je ataweza kulinda muda uliowekwa na tume wa mwisho wa kampeni yaani 12 jioni?
 
Yupo Songea kwenye mkutano wa siku ya walimu. Inasemekana kulikuwa na malumbano kidogo wakati wa kuanza mkutano na hivyo kusababisha uanze kwa kuchelewa. Muweni na subira, ataingia muda si mrefu.
 
Mpanda farasi wawili,kuwa mgeni rasmi anapenda na kwenda pemba anapenda,huko slaa kisha pita ndio maana hawamwelewi jk
 
Ndio kafika muda huu,na sasa ni saa kumi na mbili tayari
 
Ndio kafika muda huu,na sasa ni saa kumi na mbili tayari

sIKU HIZI ANAHUTUBIA DAKIKA KUMI haina shida muda unamtosha, akizidisha muda wa kuongea mnhhhhhhh si mnajua sarakasi zake za kikorea jukwaani?
 
Yupo Songea kwenye mkutano wa siku ya walimu. Inasemekana kulikuwa na malumbano kidogo wakati wa kuanza mkutano na hivyo kusababisha uanze kwa kuchelewa. Muweni na subira, ataingia muda si mrefu.

Malumbano gani?? tugani tafadhali
 
Bado anahutubia hapa jk,hajali muda uliowekwa na tume,kweli maji ya shingo,natamani nikampime presha yake
 
Vipi bado anaendelea? Kuna taarifa nimezipata toka ikulu,zinasema kuwa imetumwa Ambulance hapo kwaajili ya tahadhari maana uko Songea wame mtibua kweli kweli na ameondoka uko akiwa amekasirika sana hivyo chochote chaweza kutokea hapo leo... Urassa usicheze mbali nae maana utaleta Breaking News nyingine mda siyo mrefu.
 
vipi bado anaendelea? Kuna taarifa nimezipata toka ikulu,zinasema kuwa imetumwa ambulance hapo kwaajili ya tahadhari maana uko songea wame mtibua kweli kweli na ameondoka uko akiwa amekasirika sana hivyo chochote chaweza kutokea hapo leo... Urassa usicheze mbali nae maana utaleta breaking news nyingine mda siyo mrefu.
du tuleteeni zaidi za huko songea tunataka kujua walimu wanasemaje kuhusu chama chetu jamani
 
vipi bado anaendelea? Kuna taarifa nimezipata toka ikulu,zinasema kuwa imetumwa ambulance hapo kwaajili ya tahadhari maana uko songea wame mtibua kweli kweli na ameondoka uko akiwa amekasirika sana hivyo chochote chaweza kutokea hapo leo... Urassa usicheze mbali nae maana utaleta breaking news nyingine mda siyo mrefu.
amemaliza kuvunja sheria ya uchaguzi hapa ameondoka
 
amemaliza kuvunja sheria ya uchaguzi hapa ameondoka
IS Like ur joking eeh Sheria ipi ile aliyosaini kwa mbwembwe kibao pale mjengoni!???
duuuu kweli watu hawapo silius na ambacho huwa wanakisema. sasa ahadi zake tuzifikilieje!???
 
Hivi Pemba kulikuwa hakuna polisi wa kumteremsha jukwaani? Si kila siku wanajidai wao ni neutral?
 
Back
Top Bottom