Jk hapa ndipo ulipotamani kutufikisha tafakari kwa kina na fanya maamuzi

Rumishaeli

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
227
72
Kuna wakati JK alikua anaulizwa maswali na waandishi wa habari, moja ya swali aliloulizwa ni kwamba anataka watanzania wamkumbuke kwa lipi atakapomaliza muhula wake.

Naye bila kufikiri kwa kina alitoa jibu rahisi tu na kusema naomba kunukuu '' nataka watanzania wanikumbuke kuwa nimewatoa sehemu flani na nimewafikisha hapa''

Sasa mimi naamini kuwa huyu JK aliupata uongozi kwa njia isiyo halali na labda alimwaga damu wakati anautafuta uongozi.
Kwani kila anaetambua ni kuwa mamlaka iliyopata madaraka kwa kumwaga damu dhahiri utaendelea kumwaga damu,tumeona Arusha, morogoro, na sasa mbeya huku wakitumia polisi kupata damu ya kulisha mizimu ya CCM.

kwahiyo anatutoa kwenye amani anatupeleka kwenye vita kwa kutumia polisi nao polisi bila kuelewa hili wanaenda kama nyumbu.

UCHUMI
Katutoa kwenye uchumi mzuri hadi uchumi legelege.

Maoni yangu
Fanya maamuzi magumu kama pacha mwenzako EL ili uwe na amani kwa kipindi cha uhai wako bila hivi damu ulioimwaga itamaliza kizazi chako hadi kizazi cha tatu. :amen:
 
Tumefika hapa kwa udhaifu na madhaifu ya Baba mwanaasha! Riz 1 ongea na dhaifu mwambie Iringa kimenuka.
 
Mtu anaye tafuta kuingia Ikulu kwa kuchafua wenzie kwa kalam, mtu huyo huyo atalinda na kunyoosha mstari kwa risasi, mwogopeni, By Fedrick W. Sumaye, 2005.
 
Mtu anaye tafuta kuingia Ikulu kwa kuchafua wenzie kwa kalam, mtu huyo huyo atalinda na kunyoosha mstari kwa risasi, mwogopeni, By Fedrick W. Sumaye, 2005.
do you think sumaye deserved? generally this is poor thread and everything overhere.
 
Sasa mimi naamini kuwa huyu JK aliupata uongozi kwa njia isiyo halali na labda alimwaga damu wakati anautafuta uongozi.
Kwani kila anaetambua ni kuwa mamlaka iliyopata madaraka kwa kumwaga damu dhahiri utaendelea kumwaga damu,tumeona Arusha, morogoro, na sasa mbeya huku wakitumia polisi kupata damu ya kulisha mizimu ya CCM.

kwahiyo anatutoa kwenye amani anatupeleka kwenye vita kwa kutumia polisi nao polisi bila kuelewa hili wanaenda kama nyumbu.

UCHUMI
Katutoa kwenye uchumi mzuri hadi uchumi legelege.

Maoni yangu
Fanya maamuzi magumu kama pacha mwenzako EL ili uwe na amani kwa kipindi cha uhai wako bila hivi damu ulioimwaga itamaliza kizazi chako hadi kizazi cha tatu. :amen:

Hapo kwenye nyekundu ni kuwa wale walinzi wasioonekana alorithishwa na Shekh Yahya chakula chao ni damu ya binadamu, kwa hiyo tutegemee damu nyingi kumwagika kabla ya huyu mtu hajondoka pale magogoni.
 
Laiti baba mwanaasha angetafakari ujumbe huu, "IKULU NI MZIGO, SI MAHALI PA KUKIMBILIA. NJAA IKITOKEA NI WEWE, MAFURIKO NI WEWE, UMASIKINI NI WEWE, MATATIZO YOOOTE YANAKUANGALIA WEWE" asingeingia kichwa kichwa. Lakini midhali kalikoroga mwache alinywe.
 
Back
Top Bottom