JK, Chenge, Lowassa, Rostam, Karamagi na Karume wameshampata mgombea Urais kupitia CCM

Taarifa za kuaminika toka kwa chanzo muhimu toka ndani ya kamati kuu ya ccm na kutoka key-parsons wa urais wa Tz kwa tiketi ya ccm, zinasema kuwa:

"Wale walioamini na wanaoamini kuwa Jk na Lowassa ni maadui, wamefilisika.

Kundi linalounda maamuzi ya mwisho ya URAIS wa Tz kwa mkono wa ccm linaongozo na key-Parsons wasiozidi kumi ambao ni: 1) Jk 2) Lowassa (3) Rostam (4) Karamagi (5) Chenge (6) Mzee karume Rais Mstaafu (7) Nahodha

Inaelezwa kuwa hawa ndio wenye maamizi ya misho kwa sasa na tayari wameshamchagua mgombea urais ajae, inazidi kuelezwa kuwa iwe usiku au mchana, kiangazi au masika, imwagwe damu au vicheko vitawale, wao wanae mgombea uraisi mmoja tu ambae ni EDWRD N. LOWASSA.

Nanukuu moja ya maneno ya vikao vyao, "Kwakutumia mamlaka na raslimali nilizonazo, wewe kaka yangu endelea kuonyesha mbele ya jamii kuwa tunatofautiana, tena nipinge hadharani na ikiwezekana kwa kashifa", huku akicheka anaongeza "Nakuhakikishia vijana wangu hawatakusumbua, hilo nitawaagiza kabisa" Mwisho wa kunukuu!

Moja ya vikao vinavyotajwa kuwa vilikuwa namafanikio nikile kilichokalika hivi karibuni ambapo inaelezwa kilinogeshwa na uhudhuriaji wa Rostam kwa njia ya video akiwa Malaysia na kuahidi kuchangia fungu la kutoa kuchagiza kampeni na malengo yao.

Hayo ndio yanayojiri kwa siasa za Tanzania, sio lazima uamini ila tumia akili yako,
kaka hapo umechemka rostam, chenge na karamangi hawana maamuzi makubwa kiivyo [kichama]. alafu kuna watu kama mh. mkapa na mh. mwinyi umewasahau. watu wote uliowaweka kwenye hii list ni wa kundi la lowassa. jk ana watu wake kama membe na mama migiro watu wapole kama yeye. jk anamjua rafiki yake lowassa ni mtu wa visasi unadhani amesahau alivyomtosa kwenye ishu ya richmond.
 
nimependa kibwagizo ulichomaliza nacho "siyo lazima uamini ila tumia akili yako" na mimi nakuhakikishia kuwa natumia akili na sikubaliani hata kidogo na tungo yako. Hakuna kitu kama hicho, time will tell!
 
Hivi mbona lohasa anaonekana kwenye vyombo vya habari kuliko wengine,tena anakuwa na vipindi maalum kwenye tvs,naona ndo maana na wengine wameuwasha huyu akiwa mtwara,mwingine utamsikia akiwa kagera,mara arusha! Kweli mpaka ifike 2015 tutakua tumeona na kusikia mengi.
 
Taarifa za kuaminika toka kwa chanzo muhimu toka ndani ya kamati kuu ya ccm na kutoka key-parsons wa urais wa Tz kwa tiketi ya ccm, zinasema kuwa:

"Wale walioamini na wanaoamini kuwa Jk na Lowassa ni maadui, wamefilisika.

Kundi linalounda maamuzi ya mwisho ya URAIS wa Tz kwa mkono wa ccm linaongozo na key-Parsons wasiozidi kumi ambao ni: 1) Jk 2) Lowassa (3) Rostam (4) Karamagi (5) Chenge (6) Mzee karume Rais Mstaafu (7) Nahodha

Inaelezwa kuwa hawa ndio wenye maamizi ya misho kwa sasa na tayari wameshamchagua mgombea urais ajae, inazidi kuelezwa kuwa iwe usiku au mchana, kiangazi au masika, imwagwe damu au vicheko vitawale, wao wanae mgombea uraisi mmoja tu ambae ni EDWRD N. LOWASSA.

Nanukuu moja ya maneno ya vikao vyao, "Kwakutumia mamlaka na raslimali nilizonazo, wewe kaka yangu endelea kuonyesha mbele ya jamii kuwa tunatofautiana, tena nipinge hadharani na ikiwezekana kwa kashifa", huku akicheka anaongeza "Nakuhakikishia vijana wangu hawatakusumbua, hilo nitawaagiza kabisa" Mwisho wa kunukuu!

Moja ya vikao vinavyotajwa kuwa vilikuwa namafanikio nikile kilichokalika hivi karibuni ambapo inaelezwa kilinogeshwa na uhudhuriaji wa Rostam kwa njia ya video akiwa Malaysia na kuahidi kuchangia fungu la kutoa kuchagiza kampeni na malengo yao.

Hayo ndio yanayojiri kwa siasa za Tanzania, sio lazima uamini ila tumia akili yako,
Mafungu yao yataliwa na urais hawapati ng'ooooooooooooooooooooo
 
Lowasa ndiye aliyetufikisha hapa,kwa kumachia ****** madaraka,bahati mbaya zaidi kwake"******" hajaperform.hatuwezi tena kurudi kulekule.nchi imerudi nyuma kwa miaka kumi.tufannye kazi ya kujaribu tena miaka kumi mingine?Hii ngoma ni CDM tu.!Shida yangu ni moja tu.Lile daftari la kupiga kura halizungumziwi kabisa.Hilo ndilo litakaloleta machafuko 2015.Kuna watu wengi sana hawako humo.Kumbukeni yaliyotokea Igunga.
 
nyie ngoja mtape tape nchi imekwenda mikononi mwa dk slaa hv ccm bado wana matumaini ya kutaka kuja kutawala nchi hii? Ha ha ha ha ha dk slaa imarisha chama vijijini tuje tujichukulie nchi bila shida, atuitaki ccm tena
Slaa mwemyewe anasubiri kupigwa buti, safari hii anasimamishwa mbowe au Zitto.
 
"Hakuna mwanaume kama Lowasa," Sofia Simba. Kwa sasa hakuna mgombea yoyote kutoka CCM anayeweza kupambana na nguvu ya UMMA (CHADEMA). CCM mwisho wao umeshafika na mwaka 2015 si wao tena. Hicho chama kimeshakufa na sisi tunakitakia pumziko la milele. RIP CCM.
Taarifa za kuaminika toka kwa chanzo muhimu toka ndani ya kamati kuu ya ccm na kutoka key-parsons wa urais wa Tz kwa tiketi ya ccm, zinasema kuwa:

"Wale walioamini na wanaoamini kuwa Jk na Lowassa ni maadui, wamefilisika.

Kundi linalounda maamuzi ya mwisho ya URAIS wa Tz kwa mkono wa ccm linaongozo na key-Parsons wasiozidi kumi ambao ni: 1) Jk 2) Lowassa (3) Rostam (4) Karamagi (5) Chenge (6) Mzee karume Rais Mstaafu (7) Nahodha

Inaelezwa kuwa hawa ndio wenye maamizi ya misho kwa sasa na tayari wameshamchagua mgombea urais ajae, inazidi kuelezwa kuwa iwe usiku au mchana, kiangazi au masika, imwagwe damu au vicheko vitawale, wao wanae mgombea uraisi mmoja tu ambae ni EDWRD N. LOWASSA.

Nanukuu moja ya maneno ya vikao vyao, "Kwakutumia mamlaka na raslimali nilizonazo, wewe kaka yangu endelea kuonyesha mbele ya jamii kuwa tunatofautiana, tena nipinge hadharani na ikiwezekana kwa kashifa", huku akicheka anaongeza "Nakuhakikishia vijana wangu hawatakusumbua, hilo nitawaagiza kabisa" Mwisho wa kunukuu!

Moja ya vikao vinavyotajwa kuwa vilikuwa namafanikio nikile kilichokalika hivi karibuni ambapo inaelezwa kilinogeshwa na uhudhuriaji wa Rostam kwa njia ya video akiwa Malaysia na kuahidi kuchangia fungu la kutoa kuchagiza kampeni na malengo yao.

Hayo ndio yanayojiri kwa siasa za Tanzania, sio lazima uamini ila tumia akili yako,
 
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema muda wa kutangaza iwapo atagombea urais au la katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, bado haujafika na kwamba kufanya hivyo kwa sasa kunaweza kufungua uwanja wa mapambano, maneno mengi, zikiwamo tuhuma, kushutumiana na kuyapa magazeti cha kuandika.

Kutokana na hali hiyo, amesema hana muda wa kubishana na watu ambao wamekuwa wakihusisha baadhi ya kauli zake na maandalizi ya kutaka kugombea urais mwaka huo kwa kuwa wanafanya hivyo kwa kutumia uhuru wao wa kikatiba wa kutoa maoni.

Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli (CCM), alisema hayo alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Dakika 45 kilichorushwa na televisheni ya ITV juzi usiku, ambacho pamoja na mambo mengine, Mtangazaji alimtaka kutoa kauli kuhusiana na kutajwa na baadhi ya watu kwamba anataka kugombea urais mwaka huo.

Akijibu swali hilo, Lowassa alisema: “Waingereza wana msemo: ‘We shall cross the bridge when we get there’ (Tutavuka daraja tutakapolifikia). Hatujafika kwenye daraja lenyewe. Tuko kwenye uchaguzi wa chama chetu sasa hivi. Tunaendelea vizuri. Halafu tutaona mambo yanavyokwenda.”

“Bado miaka ya uchaguzi wa 2015 bado mbali sana. Tukianza kusema huku, tutafungua tu uwanja wa mapambano tena na maneno mengi na magazeti na tuhuma, kushutumiana. Sasa nitavuka daraja nitakapofika.”

Kuhusu watu wanaohusisha baadhi ya kauli zake na maandalizi ya kutaka kugombea urais, Lowassa alisema: “Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake. Katiba yetu inaturuhusu hivyo. Na kila mtu ana uhuru, siku hizi kila kitu ni siasa katika nchi yetu, kila kitu, chochote kile ni siasa.”

“Hata kitu ambacho ni cha weledi kabisa itawekwa siasa, kitu gani itawekwa siasa, jambo la dini litawekwa siasa, jambo gani. Kila kitu ni siasa. Sasa mimi sina muda wa kubishana nao. Nafanya yale yanayonipasa, naomba Mungu anisaidie niyafanye, kwa kuwajibika, kwa wajibu wangu. Ila nasema ukifika wakati huo nitawaambia Watanzania. Lakini kwa sasa ni mapema mno kusema lolote.”

Kuhusu misaada anayoitoa kupitia harambee, ambazo amekuwa akizifanya makanisani, misikitini na kwenye shule, alisema hufanya hivyo kwa kuelekezwa na busara zake na kwamba harambee hizo amejaliwa na Mungu na ni njia ya kumtumikia Mungu na Watanzania.

“Nina maombi mengi sana ya harambee kwa makanisa kwa misikiti kwa shule. Yako mengi kweli kweli. Na mimi Mungu anisaidie yale nitakayoweza kuyafanya nitayafanya, yale nitakayoshindwa nitashindwa. Nitaomba radhi. Nitayafanya kwa nguvu zangu zote, kwa uaminifu wangu wote, kwa sababu ni njia ya kumtumikia Mungu, ni njia ya kuwatumikia Watanzania,” alisema Lowassa.

KILIMO KWANZA

Akijibu swali kuhusu changamoto inayosababisha sera nzuri ya ‘Kilimo Kwanza’ kutoeleweka vyema na kushindikana kutekelezeka, Lowassa alisema: “Hapa tuwe waangalifu kidogo. Mimi sikubaliani na Kilimo Kwanza. Na wanajua. Kwenye chama changu wanajua… Mimi naita ‘Elimu Kabla’ halafu ‘Kilimo Kwanza’.”

Alisema hakubaliani na Kilimo Kwanza kwa sababu historia ya mataifa yaliyoendelea duniani inaonyesha kuwa ili kupata mabadiliko ya msingi katika kilimo inatakiwa kuwekeza kwanza kwenye elimu.

Lowassa alisema hiyo ina maana kwamba, unapokuwa na mkulima aliyesoma, atalima vizuri zaidi, kadhalika unapokuwa na mfugaji aliyesoma, atafuga vizuri zaidi, kwa sababu ya elimu aliyonayo.

“Sasa tumeleta Kilimo Kwanza tukavuruga kidogo. Elimu ya sekondari hizi za kata ikaenda ikanisumbua. Kwa hiyo, niliporudia mara ya kwanza nikasema mimi sikubaliani na sera hii mpaka waweke kwanza ‘Elimu Kabla’ Kilimo Kwanza. Elimu ni msingi kabisa. Kadiri unavyoelimisha taifa lako, ndivyo linavyokuwa na nguvu ya kujiendeleza,” alisema Lowassa.

Alisema baadhi ya mataifa kama India, Indonesia na Malaysia, ambayo yalipata uhuru miaka ya 1960, yalikuwa nyuma kimaendeleo sawa na Tanzania.

Hata hivyo, alisema leo mataifa hayo yako mbali kiuchumi kulinganisha na Tanzania kwa kuwa walifanya maamuzi ya msingi, kwani jambo walilosimamia kwanza ni elimu kwa kuwaelimisha watu wao ndani na nje.

Alisema shule za sekondari za kata ni moja ya suluhu ya majibu hayo iwapo zitasimamiwa vizuri, watoto wakapata kusoma vizuri na kutoka vijana watakaoweza kuajiriwa hata kwenye viwanda.

“Watarudi vijijini. Lakini arudi mtu imara, aliyesoma, aliyeelimika. Ni muhimu sana. Ukipata wakulima walioelimika, taifa linabadilika,” alisema Lowassa.

GESI

Alisema Watanzania wamepata baraka kwa kujaliwa neema ya gesi nyingi katika mikoa ya Lindi na Mtwara na kusema jambo hilo ni kubwa kwa kuwa kupata gesi au mafuta kunaweza kukawa ama laana au neema kwa nchi kutokana na namna rasilimali hiyo itakavyosimamiwa.

“Mkiisimamia vibaya inakuwa laana kwa nchi yenu, mkisimamia vizuri inakuwa neema,” alisema Lowassa.

Kutokana na hali hiyo, aliwaomba Watanzania, hasa walioko serikalini kuhakikisha wanaisimamia neema hiyo vizuri, ikiwa ni pamoja na kutunga sera haraka ili wananchi, ambao gesi itakakopatikana wajue faida na manufaa watakayoyapata.

Alisema pia hakuna sababu ya kuendelea kutoa vitalu vingine, badala yake viachwe serikali ishughulike kwanza na neema iliyopatikana.

“Nikisema hivi wataniona mjinga. Lakini I am not a fool, najua nasema nini,” alisema Lowassa.

Alisema kwa mfano, nchini Finland katika mwaka 1962 waligundua mafuta, lakini hawakuanza kuyachimba na kwamba, walianza kuchimba baada ya miaka mingi kupita na hawajatoa yote, hivyo akashauri Watanzania kujifunza kutoka kwao.

Lowassa alisema hata Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, enzi za utawala wake madini yalipogundulika kuwapo nchini, alizuia yasichimbwe kwa maelezo kwamba, Watanzania hawajawa tayari.

“Juzi juzi tumeanza kuchimba madini. Kwa hiyo tusigawe yote. Hili ni suala la sera. Tusigawe vitalu vyote, tungojee muda upite. Hilo la kwanza, sera. Lakini la pili, ipite sheria inayotawala jambo hili kama walivyofanya Waganda. Kuna sheria ya management ya resources (kusimamia rasilimali) zile za gesi, mnatumiaje,” alisema Lowassa.

AJIRA KWA VIJANA

Alisema moja ya matatizo makubwa nchini na ya msingi, ni ajira kwa vijana na kwamba, kuna siku aliwahi kulisema hilo, waziri mmoja akamshambulia, lakini baadaye akamuelewa.

“Nasema tatizo la msingi la Tanzania sasa kuliko kitu chochote ni ajira kwa vijana. Hawa vijana waliomaliza vyuo vikuu kwa maelfu kwa mamia, wanaomaliza high school (shule za juu), wanaomaliza taasisi nyingine, wako wengi, wamesoma, wana nguvu, wana akili. Na hawa ndipo Mungu alipowaweka nchi yao. Hawana ajira, hawana matumaini, ni very dangerous (hatari sana), very very dangerous (hatari sana sana),” alisema Lowassa.

Alishauri kusambazwa viwanda vya pamba vinavyochukua watu wengi kwa ajira katika maeneo yanayolima zao hilo ili kuwawezesha vijana wanaomaliza masomo vyuo vikuu kupata ajira.

Alisema iwapo vijana hao wataendelea kuachwa, amani iliyopo kamwe haiwezi kudumu, hivyo, akasema: “Tukope, tuendeshe viwanda vya kuajiri vijana wetu.”

Pia alishauri kuwekeza mapato ya gesi katika uchumi wa kilimo, ambao alisema ndiyo una watu wengi zaidi nchini.

“Kwa hapa ndipo kuna ajira ya watu wengi zaidi. Wekeza kwenye kilimo, utafanya nini, utafikiria baadaye,” alisema Lowassa.

Alihoji kitakachomsaidia mkulima wa Tanzania kwenda kwa kasi zaidi baada ya gesi kupatikana kwa sababu kuna hatari inaweza kuikumba nchi kutokana na kubweteka kwa kuwa gesi imepatikana.

Alishauri pia kutengwa fedha zitakazotokana na mauzo ya gesi dhidi ya zile zinazokusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ambapo fedha za gesi zitumike kuanzisha miradi maalum, kama ya viwanda na kilimo.

“Lakini angalia miundombinu uijue. Wekeza kwenye miundombinu, wekeza kwenye elimu, wekeza kwenye afya. Chagua maeneo unayoyasimamia, ambayo yataleta mabadiliko kwa Watanzania hawa wajue kweli tunapata gesi,” alisema Lowassa.

Pia alishauri kuwapa mafunzo vijana ili wawe weledi katika maeneo ya gesi kwa kuwa anaamini kwa muda mrefu serikali itakuwa inawategemea wageni.

MAAMUZI HAYASIMAMIWI
Alishauri uamuzi wa serikali wa kupunguza matumizi yake usimamiwe kwa kuwa kuna tatizo nchini la kufanya maamuzi mengi yasiyosimamiwa.

Alisema Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ni mfano mzuri wa kuigwa kwa kusimamia maamuzi, yakiwamo yale ya kupunguza matumizi ya serikali.

“Kwa hiyo, hili nalo lifanyiwe maamuzi na yasimamiwe. Tunatoa maamuzi mengi sana katika nchi yetu. Mara ooh, tunalaumiwa katika Afrika Mashariki tunafanya maamuzi hatuyasimamii. Wenzetu wanatuwahi kwenye suala la kufanya maamuzi. Tusimamie kwenye maamuzi. Tufanye maamuzi na tuyasimamie,” alisema Lowassa.

APINGA UCHUMI KUTEGEMEA DOLA

Lowassa alisema zipo sera nyingine za kifedha, ambazo zinachangia mfumuko wa bei ama kupanda au kushuka na kutolea mfano wa namna ambavyo uchumi wa kutegemea dola unavyopigiwa kelele.

“Ndiyo maana nilisema dollarization of our economy is wrong (kutumia Dola ya Marekani kwenye uchumi), tutafakari upya kama ni sahihi. Pengine Gavana (wa Benki Kuu ya Tanzania-BoT) angekuja publicly (hadharani), akaanzisha mjadala kidogo, kwanini inflation (mfumuko wa bei) haujashuka,” alisema Lowassa na kushauri nchi kuingia kwenye uchumi wa viwanda.

“Kwa mfano, ningekuwa na mamlaka mimi, vijana hawa walioko JKT, ningewachukua kwa maelfu kwa mamia, nikatafuta mashamba, tukapanda michikichi. Michikichi tu. Panda heka elfu kumi, elfu kumi, elfu ishirini, elfu thelathini.” alisema na kuongeza:

“Nimekwenda Malaysia, Malaysia uchumi wao unategemea michikichi. Na Michikichi wale wameipata Tanzania. Lakini leo number one wa expert (wataalamu) wa michikichi. Na hata hapa tunakula mawese kutoka Malaysia.

“Wamefanya nini? Wamepanda kila mahali, kila eneo la nchi yao wamepanda michikichi. Wamekwenda kukodisha ardhi kwa majirani zao Waindonesia, wanalima michikichi kule katika nchi ya wengine.”

Alisema Tanzania kuna ardhi kubwa, ambayo Mwenyezi Mungu ameibarikia, ina mito na rutuba.

“Tungegeuza mashamba ya michikichi vijana wa JKT kazi yenu kuanzisha mashamba ya JKT, tukatumia nguvu kazi hii kuanzisha uchumi…kwa majirani hawa tukawa sisi ndiyo tunatawala kwa mafuta, tunaweza, ni maamuzi. Maamuzi ya msingi yafanyike, tufanye mambo hayo,” alisema Lowassa na kuongeza:

“Mwalimu (Nyerere) alifanya maamuzi mengi sana ya kiuchumi, ndiyo yaliyotusukuma mpaka hapa. Rais Mkapa, Rais Mwinyi walifanya maamuzi. Rais huyu (Kikwete) amefanya maamuzi. Lakini tufanye na mengine na mengine.”

CHANZO: NIPASHE

Aendelee kunyamaza mpako umauti utakapomkuta maana lazima pesa tuzile halafu urais akose,kama hela hazina kazi masikini wangapi wanataabika awasaidie kuliko kuja jutia nafsi yake,upepo umegeuka jamani hawaoni,kule kile kipindi ambacho watu wanamacho lakini hawaoni,wanamasikio lakini hawasikii kimefika
 
Mleteni Lowasa mwenyewe humu JF tumkaange. Tumechoka kuongea na "mbwa". Tunamtaka mwenye "mbwa". Humu hakutakuwa na maswali ya "promotion" kama yale ya kipindi cha DK 45 cha ITv.
 
Mimi sitaki kuamini hayo ya kwako ila yamekuja sawa na hisia zangu kwambaa, Pamoja na ufisadi mkubwa aliopata kuufanya Lowasa kipindi cha uongozi wake bado anabaki kuwa kiongozi pekee aliyebaki upande wa CCM mwenye sifa za kuwa rais. Bila yeye mimi maraisi wengine nawaona upinzani.
Sifa za lowasa:
  • Anajua kukaripia pale mambo yanavyokwenda ndivyo sivyo
  • Anujua kucheka kwa kipimo pale jambo jema linapotokea
  • Si mtu wa kupigwa mikwara ya kijingajinga na ama viongozi wa chini yake au wale viongozi wa nchi zingine.
  • Hata anapokosea, hakosei kiasi cha kuwaumiza waliomtuma kazini,yaani wananchi
  • Si mbinafsi na wala haendekezi undugu, ukabila na udini
  • Ni kiongozi mwenye sifa ya kuheshimika bila kuomba
  • Ni mwizi wa pesa za Umma kwa manufaa ya Umma, yaani na maanisha pesa zake huzitumia kuwekeza hapahapa nchini kwa manufaa ya wananchi
  • mimi pia nashawishika kusema kuwa anajua kuwajibika pindi anapokosea(kitu ambacho ni adimu sana kwa viongozi waliowengi)
  • anauwezo wa kusimamia jambo likakamilika(fuatilieni historia yake tangu akiwa AICC)

Kiufupi napenda namna yake ya uongozi, kukosea ni kawaida kwa binadamu ila mbaya ni kukataa kukosolewa pale unapokosea.
NI KWELI LOWASA NA KIKWETE SIO MAHASIMU HATA KIDOGO,ila sidhani kama Kikwete kamruhusu amkandie na kumtukana kama ulivyosema
Kwa hiyo ufisafi ni sifa ya kumpatia mtu madaraka?tena afadhali asingekuwa fisadi akawa na hivyo vingine lakini UJAMBAZI WA KUTISHA HUO HALAFU MNAFURAHIA,KWELI CHEUPE CHEUSI
 
nyie ngoja mtape tape nchi imekwenda mikononi mwa dk slaa hv ccm bado wana matumaini ya kutaka kuja kutawala nchi hii? Ha ha ha ha ha dk slaa imarisha chama vijijini tuje tujichukulie nchi bila shida, atuitaki ccm tena

Kwa umbumbu wetu watanzania tusiokuwa na msimamo; nchi inachukuliwa CCM (Lowassa mnayempaka matope ndiyo rais wenu).
 
Mimi sitaki kuamini hayo ya kwako ila yamekuja sawa na hisia zangu kwambaa, Pamoja na ufisadi mkubwa aliopata kuufanya Lowasa kipindi cha uongozi wake bado anabaki kuwa kiongozi pekee aliyebaki upande wa CCM mwenye sifa za kuwa rais. Bila yeye mimi maraisi wengine nawaona upinzani.
Sifa za lowasa:
  • Anajua kukaripia pale mambo yanavyokwenda ndivyo sivyo
  • Anujua kucheka kwa kipimo pale jambo jema linapotokea
  • Si mtu wa kupigwa mikwara ya kijingajinga na ama viongozi wa chini yake au wale viongozi wa nchi zingine.
  • Hata anapokosea, hakosei kiasi cha kuwaumiza waliomtuma kazini,yaani wananchi
  • Si mbinafsi na wala haendekezi undugu, ukabila na udini
  • Ni kiongozi mwenye sifa ya kuheshimika bila kuomba
  • Ni mwizi wa pesa za Umma kwa manufaa ya Umma, yaani na maanisha pesa zake huzitumia kuwekeza hapahapa nchini kwa manufaa ya wananchi
  • mimi pia nashawishika kusema kuwa anajua kuwajibika pindi anapokosea(kitu ambacho ni adimu sana kwa viongozi waliowengi)
  • anauwezo wa kusimamia jambo likakamilika(fuatilieni historia yake tangu akiwa AICC)

Kiufupi napenda namna yake ya uongozi, kukosea ni kawaida kwa binadamu ila mbaya ni kukataa kukosolewa pale unapokosea.
NI KWELI LOWASA NA KIKWETE SIO MAHASIMU HATA KIDOGO,ila sidhani kama Kikwete kamruhusu amkandie na kumtukana kama ulivyosema
tENA WAMSHUKURU KIKWE KWA KUWABEBA HUO NDO MWISHO WAO MAANA WANAONEKANA WAKIPESA UHURU WANAJISAHAU SANA
 
mzee Lowassa anaweza kuwa na hoja. Bahati mbaya hoja zake zinazunguka tu mbuyu. Tuanze tu na mfano wa Malaysia. Katika maamuzi yaliyofanywa na serikali hiyo ni kupanua wigo kiuchumi. Taifa hilo limegawanyika katika tabaka mbili kubwa - wamalay ambao ndio wengi lakini kiuchumi walikuwa wamefunikwa na tabaka la pili, wenye asili ya uchina. Uamuzi ukafanyika kuwa hiyo haiwezekani, lazima, piga ua, wamalay washiriki kikamilifu kwenye uchumi - kumiliki viwanda, mabenki, bima, uchukuzi, kilimo cha mashamba makubwa, n.k. Je, Tanzania tunaweza kuwashika pembe wenye asili ya kihindi na Waarabu? Amepinga chenga hoja hiyo.

Anazungumzia gesi asilia na mafuta. Mbona amekataa kusema lolote juu ya kilio cha Watanzania kuwa madini hayana tija katika uchumi wa taifa? Na taifa limegeuzwa kuwa la wachuuzi wa bidhaa zinazozalishwa nje. Kama madini hayatoi mchango uliotegemewa na taifa linaagiza bidhaa zaidi kuliko zinazouzwa nje na hivyo kusababisha urari hasi wa fedha za kigeni unategemea gavana wa bot aje na muujiza gani. sera zetu zimekaa kiushikaji zaidi kuliko kuchochea maendeleo kwa ujumla.

Lipo tataizo la siasa kuingilia taaluma. kwa mfano, kuanzisha shule za kata bila kuwepo maandalizi ya msingi. sasa tunavuna tulichopanda - bora kuingia darasani. Kupata elimu siyo suala la msingi.

Na katika kuhitimisha, hajagusia jinsi katiba ya Tanzania inavyodidimiza uchumi wa taifa kwa sababu wanasiasa anafanya maamuzi bila kuzingatia vigezo vya kiuchumi au kisayansi. Wananchi, wachumi n.k. wanapiga kelele kubadilisha mwelekeo lakini nani anawasikiliza? Hata demokrasi yetu imedumaa, badal aya kuchochea maendeleo. Ndiyo sababu 'taaluma' inayolipa kuliko zote ni huku Tanzania siasa.

Bwana Lowassa jaribu kutafakari.
 
Haijathibitishwa ila inadokezwa kuwa yupo kundi la Sumaye lenye wahafidhina na wastaafu wengi

Sasa mbona na uku kumejaa wataafu pia KARUME,LOWASSA,KARAMAGI,CHENGE wanavyeo gani serikali emu toa upuuzi wako halafu naomba usitumie vibaya jina la MWALIMU.
 
Taarifa za kuaminika toka kwa chanzo muhimu toka ndani ya kamati kuu ya ccm na kutoka key-parsons wa urais wa Tz kwa tiketi ya ccm, zinasema kuwa:

"Wale walioamini na wanaoamini kuwa Jk na Lowassa ni maadui, wamefilisika.

Kundi linalounda maamuzi ya mwisho ya URAIS wa Tz kwa mkono wa ccm linaongozo na key-Parsons wasiozidi kumi ambao ni: 1) Jk 2) Lowassa (3) Rostam (4) Karamagi (5) Chenge (6) Mzee karume Rais Mstaafu (7) Nahodha

Inaelezwa kuwa hawa ndio wenye maamizi ya misho kwa sasa na tayari wameshamchagua mgombea urais ajae, inazidi kuelezwa kuwa iwe usiku au mchana, kiangazi au masika, imwagwe damu au vicheko vitawale, wao wanae mgombea uraisi mmoja tu ambae ni EDWRD N. LOWASSA.

Nanukuu moja ya maneno ya vikao vyao, "Kwakutumia mamlaka na raslimali nilizonazo, wewe kaka yangu endelea kuonyesha mbele ya jamii kuwa tunatofautiana, tena nipinge hadharani na ikiwezekana kwa kashifa", huku akicheka anaongeza "Nakuhakikishia vijana wangu hawatakusumbua, hilo nitawaagiza kabisa" Mwisho wa kunukuu!

Moja ya vikao vinavyotajwa kuwa vilikuwa namafanikio nikile kilichokalika hivi karibuni ambapo inaelezwa kilinogeshwa na uhudhuriaji wa Rostam kwa njia ya video akiwa Malaysia na kuahidi kuchangia fungu la kutoa kuchagiza kampeni na malengo yao.

Hayo ndio yanayojiri kwa siasa za Tanzania, sio lazima uamini ila tumia akili yako,

Kwa habari za uhakika ndani ya CDM kiakao kisichokua rasmio kikiongozwa na mzee Mtei akiwa kiongozi wa kikao hicho kilichofanyikia Key's hotel KDC kilihudhuriwa na Ndesamburo Slaa na Mbowe
Baadhi ya maneno yalikua hivyi,Mzee vipi unaonaje mwenendo wa chama ukizingatia kumeonekana kunavijana wanauchu na madaraka wanataka kutupindua
Mzee akajibu mbona hakuna tatizo kabisa Mbowe muulize ndesa hawa vijana hawana cha kuwasumbua kabisa kwanza cha msingi ni kuhakikisha tunapambana nao mapema kabisa ile hizo ngazi za juu haswa ya kwako na ya slaa inabaki nyumbani hizo za uenezi na umakam hakuna shida kwani si unujua muundo wa chama chetu?

Ndesa anamalizia mimi japo ninampango wa kustaafu siasa 2015 bt mbowe bado tutakua pamoja sana
 
kaka hapo umechemka rostam, chenge na karamangi hawana maamuzi makubwa kiivyo [kichama]. alafu kuna watu kama mh. mkapa na mh. mwinyi umewasahau. watu wote uliowaweka kwenye hii list ni wa kundi la lowassa. jk ana watu wake kama membe na mama migiro watu wapole kama yeye. jk anamjua rafiki yake lowassa ni mtu wa visasi unadhani amesahau alivyomtosa kwenye ishu ya richmond.

Mkuu hilo kundi tayari lishaamua mtu wao, na kwataarifa Lowassa na Jk ni chupa na mfuniko, hawana uadui wowote iwe ndani ya ccm au ndani
 
Kwa habari za uhakika ndani ya CDM kiakao kisichokua rasmio kikiongozwa na mzee Mtei akiwa kiongozi wa kikao hicho kilichofanyikia Key's hotel KDC kilihudhuriwa na Ndesamburo Slaa na Mbowe
Baadhi ya maneno yalikua hivyi,Mzee vipi unaonaje mwenendo wa chama ukizingatia kumeonekana kunavijana wanauchu na madaraka wanataka kutupindua
Mzee akajibu mbona hakuna tatizo kabisa Mbowe muulize ndesa hawa vijana hawana cha kuwasumbua kabisa kwanza cha msingi ni kuhakikisha tunapambana nao mapema kabisa ile hizo ngazi za juu haswa ya kwako na ya slaa inabaki nyumbani hizo za uenezi na umakam hakuna shida kwani si unujua muundo wa chama chetu?

Ndesa anamalizia mimi japo ninampango wa kustaafu siasa 2015 bt mbowe bado tutakua pamoja sana

Hahaahaa mkuu unapiga sarakasi na taulo mbele ya wakwe? ona sasa ulivyo potea maboya
 
Back
Top Bottom