JK azindua ujenzi wa hospital ya kisasa ya CCBRT

Taarifa za kiinteligensia zinasema hilo ni suala la kiusalama zaidi. Maana haichelewi kuandaliwa 'maalum' kwa ajili yake toka huko wanapopajua. Kujiepusha na ya mwakyembe katoka na yake sandukuni

Dr Slaa anaona mbali maana angevaa hayo ma track suit yao angekua kama Mwakyembe... Mungu wa mbinguni azidi kukulinda Dr wa ukweli
 
Huyu Waziri Mponda simuelewi. ''Alivyojikojolea kwenye suruali '' majuzi haoni aibu kukaa hapo?
 
Rais Jakaya Kikwete azindua ujenzi wa hospital ya kisasa ya CCBRT Dar es salaam, ujenzi huo unategemewa kufanyika pembeni mwa eneo lao kubwa la iliyopo hospital ya sasa.
Hii ndo inaweza kuwa habari. Mengine hayo ni ushabiki tu!
 
lakini hawajamtendea haki DR slaa kwa kumpa track inayopwaya.siku ingine wasirudie kosa hili.tukio kwa ujumla wake limependeza na wakubwa hawa wawili wameonyesha kukomaa kisiasa.bravo to them
 
Si mkurugenzi tuu but Dr. Slaa is the CCBRT chairman of board.

vichwa huongoza institution mpaka ikawa mfano, jamani nendeni ccbrt muone huduma ilivyo so professional!! very and indeed very professional.

hiyo ni kwa sababu ya uongozi madhubuti wa slaa na wenzake. jamani hebu tumpeni nchi huyu bwana atufanyie mambo, aturekebishie hii nchi imeoza
 
Rais Jakaya Kikwete azindua ujenzi wa hospital ya kisasa ya CCBRT Dar es salaam, ujenzi huo unategemewa kufanyika pembeni mwa eneo lao kubwa la iliyopo hospital ya sasa.

cc51.jpg

Paredi hiyo. Slaa hawezi kuinua mguu. Kweli J.K askari
 
Back
Top Bottom