JK Awafunga goli watanzania, wao washangilia!

.

BTW, katika mabadiliko ya mawaziri yanayotarajiwa kutokea wakato wowote kuanzia sasa, kutakuwa na mawaziri wawili au watatu kutoka vyama vya ushindani!

MwanaG
Cabinet yenye mawaziri kutoka opposition? Is this serious? and Why?
 
wanaJF, tunaweza kujiuliza kama kuna connection yoyote ya kumsilence Kubenea/Ndimara na yalitangazwa jana kuhusu ufisadi? Au ni mere coincidence!
 
Jonson Lukaza(Has a close relationship with Amb. Kazaura)
Jonson Lukaza and Makubo are brothers with close relationship with Malegesi, the
lawyer and brother of CCM Wazazi Chairman, Malegesi. Using the name of CCM
falsely, Malegesi and Lukaza used the very close relationship with Governor Balali to
participate in theft of Government funds from the Foreign Debt Service Account of
Bank of Tanzania. Malegesi, abusing his position as a lawyer, has prepared false
documents documents, and also written letters on behalf of Japanese companies( who have noknowledge of the documents and claims) to confirm their assignment to companiesowned by Malegesi, Lukaza, Vimal Mehta, Jeetu Patel

Malegesi and Lukaza have been charged before for stealing Government funds in
2001 in Mwanza and other places. They have defrauded the Government of Tanzania
USD 30 million. The criminals have recently purchased properties of USD 25 Million in
Tanzania and suddenly found new found fame in USD 200,000 Mercedez Benz and
Range Rovers. The opulence was recently described by a British Airways official as
clear stupidity when Lukaza and his partners flew in Range Rovers vehicles by air to
Tanzania from the United Kingdom. He is more like a Soldati for Jeetu, Balali and
Vimal and has been exchanging the TAS billions into USD cash from banks and
bureaus in Tanzania and carries the stolen funds to Dubai and Mauritius on behalf of
Don and Capos. Has flown to Dubai over 40 times in the last two years with cash.

Mimi nilishasema wabongo tumepigwa tena changa la macho halafu watu wengine wanamshangilia Tapeli na Msanii Mkuu Kikwete. Huyu jamaa hafai hata kuwa Katibu Kata.

Yeah Your almost there man! That president is a "NEWBIE"
 
Mwanakijiji nakupongeza kwa hili,,yaani najiuliza kwa nini watu kama nyie kwa nini msipewe hata uwaziri mje kutufumbua macho uozo wa serikalini,,najua hutokuwa mtumwa wa mafisadi kuruhusu watumie pesa zetyu ovyo,,

Mimi sina cha kumpongeza hata kimoja katika hili maana hapa inaonyesha wameamua kumtoa kafara balali,,,ila kuna mambo najiuliza aliyosema mwanakijiji,,huyu muungwana kadai ametengeua na hajatoa sababu za kutengua ama kaiba anaumwa nk?tukumbuke huyu bwana yuko uko dc na kabla ya muungwana alishaandika barua ya kujizulu,,na kwa kuwa muungwana ndie mwenye kuteua labda ametengua baada ya kuona barua yake ya kujiuzulu,,bado anatuunganishia na uchafu wa BOT wahusika washugulikiwe hapa najiuliza

1))Huu utenguzi ni kutokana na swala la BOT au AFYA ya FISADI"
" BALALI"

2))Hao waandishi waliokuwepo kweli wameshindwa kuuliza swali kama hili
baada ya kuambiwa vyombo kadhaa kushugulikia ubadhirifu uliopo,,au ndio walipewa bahasha kabla ya kutolewa utenguzi???

3)BADO NAJIULIZA KAMA WANA JF WALIOPITA HAYA MAKAMPUNI HAYAKUWA YAMESAJILIWA NA NATUMAINI BALALI ATATUELEZA MENGI SANA JAMANI,,JE KUNA UWEZEKANO WA KUPATA HIZO HELA???NA ZITATOKEA MAKAMPUNI GANI??KAMA YALIOKUWEPO NI FEKI

4))BADO INANITATIZA KIDOGO BODI ICHUNGUZE THEN WAT??????KAMA WALIOKUWAPO KWENYE
BODI WAPO HUMO NDANI UNAFIKIRI KUNA LOLOTE LINALOWEZA KUTOKEA????
NINA BODI NYINGI ZIMEWEZA KUCHUNGUZA BILA KUFANYA LOLOTE BAADA YA MATOKEO ...HAKUNA REACTION YOYOTE ZAIDI YA MCHANGA WA MACHO...TENA WAKOME KUFANYA WATANZANIA MAMBUMBU,,,,
 
Jamani,

Hivi huyu Daudi Balaa eti ni raia wa USA? mwenye data juu ya hilo amwage hadharani, maana kama ni kweli juu ya hili, basi kuna kazi sana ya state ku deal naye huyu.
 
Hivi unaweza "kutengua" kazi ya mtu aliyetumikia zaidi ya miaka kumi? Kutengua ni kufuta (annulment) mtu keshakaa miaka kumi, kasaini madocumenti kibao ikiwa pamoja na pesa zetu halali zinazotumika mpaka leo, leo hii "unatengua" tu? Humuachishi kazi kwa manufaa ya umma au kutoa maelezo zaidi? Na hizo hela alizosahihi unazitengua nazo?

Kutengua uteuzi/uamuzi ninavyoelewa mimi ni pale mtu anapofanya uamuzi halafu anagundua kitu tofauti ana tengua (annul) uteuzi/uamuzi.

Britney Spears "alitengua" ndoa yake ya kwanza (annulment).Huwezi kukaa na mtu miaka 10 halafu ukasema unatengua ndoa (annulment of marriage).Kutengua siyo dhana sahihi hata kama ukichukua muda tu unaohusika.

Kiwete ana mengi ya kujifunza, ikiwa ni pamoja na Kiswahili, sembuse sanaa nzima ya udanganyifu.Tamko la kurasa tatu tu limejaa marudio yasiyo lazima ya dhana katika sentensi.Ingekuwa wanaandika kitabu je?
 
Nafikiri kuna mambo mengi ya kujihoji zaidi ya hapo.
1. Ni namna gani tunafaidika na kutenguliwa kwa uteuzi wa Balali wakati yeye mwenyewe alishaachia ngazi kama Balali ataendelea kuwepo marekani.
2. Rais anaongelea uteuzi hupi? Hule aliyoufanya Ben, au alipofika mamlakani alimpa muda zaidi kwa maana ajira ya Balali ni ya mkataba? Na kama ni mkataba, si kwamba maslai ya Balali BOT yaliyosalia ni kidogo baada ya kuvuta chake kwa mkataba wa Ben.
3. Ni kwa nini hatua zilichelewa dhidi ya Balali? Ni kwa sababu Rais hakuamini report ya CAG iliyoonyesha huwozo wote na badala yake akatumia gharama nyingi kujua ukweli uliokwisha julikana? Je, hatua ziliitaji kusubiri kujua ukubwa wa Jambo?
4. Kuna hoja ya Dr. Slaa, hundi,tarehe, kiasi cha fedha, account iliyolipwa na benki viliwekwa bayana. Serikali haijakanusha wala kuchukua hatua yeyote ndo kusema mpaka mchunguzi mwingine haje?
Sitegemei hatua alizozitaja JK zitatuwezesha recover chochote angalau kwa kiwango cha malipo ya Ernest & Young. Pia kama wewe ni mfanyakazi chungulia pay in slip, Pay as you Earn ni kiasi gani? Vitendo hivi ni lazima vitukere zaidi ya kawaida. Hatuna uwezo wa kushika silaa lakini tunaweza kufanya jambo. JF ianzishe vijarida vyenye hoja na maoni mbalimbali vitakavyoweza kufikishwa mpaka vijijini.
 
Rais alipotengua uteuzi wa Profesa wa Costech yule mwanajeshi, alikuwa amemwondoa kwenye kazi ile lakini hakuwa amemfukuza Unajeshi wake hivyo akarudi JWTZ.

Kutengua ni kinyume cha kuteua.. kile kilichoteuliwa chaweza kutenguliwa lakina haina maana kinafutwa au kinatupwa. Rais ana uwezo wa kuteua na pia ana uwezo wa kutengua.

Walivyoamua kutumia neno "kutengua" badala ya kusema "amemsimamisha kazi", "amemfukuza kazi", "amemstaafisha", n.k kuna jambo ambalo hawakuwa tayari kulisema.

Hadi hivi sasa akili yangu inanituma kuamini kuwa kilichotokea ni kuwa Balali amefukuzwa kazi ya Ugavana, lakini hakufukuzwa ajira yake kwenye serikali ya Muungano kwani hadi hivi sasa hakuna kesi yoyote mahakamani dhidi yake na hakuna uthibitisho wowote wa kisheria zaidi ya hoja za hiyo ripoti kuwa alihusika kwa namna yoyote na kitendo cha uhalifu.

Kwa minajili hiyo basi Balali anaendelea kulipwa anacholipwa na huduma za matibabu bado zinaendelea kulipwa na serikali hadi pale atakapokuwa na hatia ya kihalifu.

Goli bado linahesabika!
 
Nafikiri kuna mambo mengi ya kujihoji zaidi ya hapo.

4. Kuna hoja ya Dr. Slaa, hundi,tarehe, kiasi cha fedha, account iliyolipwa na benki viliwekwa bayana. Serikali haijakanusha wala kuchukua hatua yeyote ndo kusema mpaka mchunguzi mwingine haje?

Mkuu

Wakati Dr Slaa anatoa taharifa hii serikali ilisema hiyo ndiyo inayofanyiwa kazi lakini sijaona makampuni aliyoyataja Dr. Slaa kwenye orodha ya makampuni yanayoshughulikiwa sasa nafikiri ni wakati mhafaka wa kuangalia kilicho chunguzwa na kuangalia kama Dr. Slaa anaweza kuweka hiyo ripoti tena.

Nafikiri hayo makampuni inawezekana yaligonga moja kwa moja machoni mwa watu fulani.

Nafikiri kazi ndipo imeanza sasa.
 
"Anna Muganda was a major shareholder and partner who brought in Time Mining to manage and operate the Meremeta Mines on behalf of the Government of Tanzania. She went on to become the wife of Balali in 2004."

JK NA HUYU MAMA USIMWACHE HAWA NDIO WANAOARI=BU WAUME ZAO KWA WIZI HUYU JAMANI NI MHAYA AU????KAMA KWELI INABIDI TUANGALIE KABLA YA KUOA JAMANI MUNGU TUFUNGULIE SIE MA BACHELA
 
"Anna Muganda was a major shareholder and partner who brought in Time Mining to manage and operate the Meremeta Mines on behalf of the Government of Tanzania. She went on to become the wife of Balali in 2004."

JK&NA HUYU MAMA USIMWACHE HAWA NDIO WANAOARI=BU& WAUME ZAO KWA WIZI HUYU JAMANI NI MHAYA AU????KAMA KWELI INABIDI TUANGALIE KABLA YA KUOA JAMANI MUNGU TUFUNGULIE SIE MA BACHELA
 
Mwanakijiji

Nitaikodolea macho weekend lakini tangu mwanzo tulisema JK anawasanifu WTz waliompa dhamana na yeye ameamua kuchezea shillingi kwenye shimo la choo.
 
Kwa wale mlioko Bongo mtakumbuka siku suala la kashfa ya BOT lilipopelekwa bungeni na wapinzani, uongozi wa serikali, pamoja na waziri mkuu na spika, walitetea sana utendaji wa BOT na kujaribu kuonyesha kuwa hizo ni njama tu za wapinzani kuichafulia serikali. Waziri Mkuu alimtumia gavana Balali ndege kwenda Dodoa kama ishara ya "vote of confidence" katika utendaji wake. Leo iweje huyu huyu ambaye alitetewa pamoja na kamati za akina Malima awe ndiye mhalifu wa kufukuzwa kazi na rais aliyeshtushwa na kukasirishwa na ripoti za ubadhirifu? Something is wrong somewhere.
 
Inaeleka hii ilishapangwa! na kutufanya watz wajinga,! JK ameshindwa kuwa Mwanawasa wa TZ, kwa sababu na yeye ni Fisadi mmoja wapo! Hawa wanafanya watz wakate tamaa na mabadiliko ya kweli, huyu balali na wengine wanatakiwa wakamatwe na si kuishia kufukuzwa kazi.
 
Kampuni zilizotajwa kwenye ufisadi nyingine bado zipo... mfano ni hao KERNEL ambao wako mtaa mmoja na JK! Sjui watahama au...
 
Jonson Lukaza(Has a close relationship with Amb. Kazaura)
Jonson Lukaza and Makubo are brothers with close relationship with Malegesi, the
lawyer and brother of CCM Wazazi Chairman, Malegesi. Using the name of CCM
falsely, Malegesi and Lukaza used the very close relationship with Governor Balali to
participate in theft of Government funds from the Foreign Debt Service Account of
Bank of Tanzania. Malegesi, abusing his position as a lawyer, has prepared false
documents documents, and also written letters on behalf of Japanese companies( who have noknowledge of the documents and claims) to confirm their assignment to companiesowned by Malegesi, Lukaza, Vimal Mehta, Jeetu Patel

Malegesi and Lukaza have been charged before for stealing Government funds in
2001 in Mwanza and other places. They have defrauded the Government of Tanzania
USD 30 million. The criminals have recently purchased properties of USD 25 Million in
Tanzania and suddenly found new found fame in USD 200,000 Mercedez Benz and
Range Rovers. The opulence was recently described by a British Airways official as
clear stupidity when Lukaza and his partners flew in Range Rovers vehicles by air to
Tanzania from the United Kingdom. He is more like a Soldati for Jeetu, Balali and
Vimal and has been exchanging the TAS billions into USD cash from banks and
bureaus in Tanzania and carries the stolen funds to Dubai and Mauritius on behalf of
Don and Capos. Has flown to Dubai over 40 times in the last two years with cash.

Jee nyie mashushu wa sirikali mnao yasoma haya, mnachukuwa hatuwa gani? wewe jamaa wa kuzuia rushwa unafanya nini? yaani mnaiacha mijitu inakula pesa za umma huu, ambao watu wengi wanahangaika hata matibabu hawapati kwenye hospitali zetu, na nyie mmekaa mnakodolea mi macho tuu. Hivi jamani hao wanaotajwa hamuwajuwi? na hayo yanayosemwa hayachunguziki? mie nashangaa sana, jamani huu ufisadi uliyotukandamiza toka wakati wa nyerere mpaka wa leo tutaumaliza lini? mie nadhani hizi ni njama za system au hamjui system ni nini?
 
wanaJF, tunaweza kujiuliza kama kuna connection yoyote ya kumsilence Kubenea/Ndimara na yalitangazwa jana kuhusu ufisadi? Au ni mere coincidence!

Mkuu unaweza kua na point hapa.
Kwa jinsi mmbo yalivyo nakubariana na wewe moja kwa moja.
Alafu muungwana anawahi kumtembela hospital.kama ameguswa sanaaa..........!
Nameneo ya kwamba,"kila kazi lazima ina hazzards zake na hii ndio kati ya hizo hazzards" (yana nitia wasi wasi kweli kweli)

Alafu on the other side of the coin kila kitu hapo kipo fixed na hao hao.Indi,kutembelewa na wakubwa huko india kuwekwa kwenye taarifa za habari na wale yule bwana anayo yasema wanaweza kuwa washa mnunua pia
 
Jee nyie mashushu wa sirikali mnao yasoma haya, mnachukuwa hatuwa gani? wewe jamaa wa kuzuia rushwa unafanya nini? yaani mnaiacha mijitu inakula pesa za umma huu, ambao watu wengi wanahangaika hata matibabu hawapati kwenye hospitali zetu, na nyie mmekaa mnakodolea mi macho tuu. Hivi jamani hao wanaotajwa hamuwajuwi? na hayo yanayosemwa hayachunguziki? mie nashangaa sana, jamani huu ufisadi uliyotukandamiza toka wakati wa nyerere mpaka wa leo tutaumaliza lini? mie nadhani hizi ni njama za system au hamjui system ni nini?

Na kwa Taarifa yako tu hii ni latest,
Jana majila ya saa nee asubuhi The beautfully wife wa huyo bwana Lukaza alikua bank akijaribu kuhamisha hiyo Mipesa yenu.
 
Mi Kikwete nimemzoea kabisaa,kwa usanii Rais wangu nampa namba moja.Nampenda kwa kuwa anajua kucheza na mind za watu wasiopenda kwenda kwenye details lakini ni mashabiki wazuri na wasiofikiria vizuri.Kwangu mimi bao kabisaa,akimkamata Balali na chain yake yote ntaanza kumuelewa lakini huo usanii wake wa sasa sijakubali.Watu wanasema serikali haina hela,hayo matakukuru kila siku yanatumia hela nyingi kwa ajili ya upuuzi mtupu yanaishia na marepoti ya kitoto.Watanzania tuamke na tuwe na second thought,hii ni pamoja na vyombo vyetu vya habari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom