Kuwa involve US Secret Service, Scotland Yard, WB na IMF central bank kunaweza kuwa counter productive katika mambo ya national security.
Tumekwisha, ndani hatuna mtetezi, nje nako utata kibao!
Jamani Mmesikia Muungwana Kaoa Mke Wa Pili Ambae Ni Mtoto Wa Zakia Meghji?kama Kuna Mtu Ana Habari Zaidi Atumwagie
Haya wana ndugu hoja zenu nyingi mlizozitoa hapa zitatoka kwenye makala yangu kesho kwenye gazeti la Tanzania Daima..

Mkuu unaweza kua na point hapa.
Kwa jinsi mmbo yalivyo nakubariana na wewe moja kwa moja.
Alafu muungwana anawahi kumtembela hospital.kama ameguswa sanaaa..........!
Nameneo ya kwamba,"kila kazi lazima ina hazzards zake na hii ndio kati ya hizo hazzards" (yana nitia wasi wasi kweli kweli)
Alafu on the other side of the coin kila kitu hapo kipo fixed na hao hao.Indi,kutembelewa na wakubwa huko india kuwekwa kwenye taarifa za habari na wale yule bwana anayo yasema wanaweza kuwa washa mnunua pia