Jk atumia katiba kukataza mikutano ya chadema

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
CCM Inatumia Katiba Tena Kuweka Maamuzi ya Kisiasa. Chadema Hawana Haki ya Kufanya Mikusanyiko Ila CCM Wanahaki ya Kuhutubia Bungeni na Kokote Inchini. Wananchi Hii Inazidi Kudhihirisha Njia Inchi Yetu Inazidi Kudidimia. CCM Wanataka Wananchi Tukae Kimya ili Waendelee Kutukandamiza na Wao Kula Pesa za Walipa Kodi. Katiba Peke Yake Ndio Ingezuia Vitendo na Madaraka ya CCM au Chama Chochote Kile. Leo Hii Demokrasia ya Tanzania Inatendeka Jinsi CCM Wanavyojisikia. Hivi Tuna-Dikteta au King TZ? This Dangerous Dooo... CUF Kweli Mnajiunga na CCM Wakati Wananchi Wamepiga Kura Kukikataa Hiki Chama?

"Katiba ya CCM Haiendani na Mfumo wa Demokrasia ya Mtanzania Leo na Kuendela Mbele"
 
ndio maana tunahitaji katiba mpya isiyo weza kubeba wachache na kuacha wengi,na mchakato huu wa katiba ikiwezekana uanze sasa na tusisubiri viongozi walioko madarakani kufanya hilo kwani tunajuwa hawawezi
hima watanzania umefika wakati sasa wa kupigania haki zetu kikatiba,moja wapo ni kuanza mapema mchakato wa katiba mpya

mapinduziiii daimaaaaaaa
 
hawasikii hawa dawa ni moja tu tutoane utumbo kwanza ndo watajua watu wako serious na issues hizi..mijitu inakuwa mibishi kama nini bana
 
Back
Top Bottom