Jk aongoza maziko ya shekh yahya hussein

mimi naamini.big joke ni huyu mbunge wenu kimbelembele.anaevuta ike kitu
 
Jk hakumkana Sheikh Yahya wakati akiwa hai ikimaanisha aliafiki ya kuwa Mnajimu huyo angeliweza kumpatia nguvu za giza ili zimlinde hadi asiwe anaanguka anguka jukwaani..............................sasa huyu mtumishi wa shetani is now a goner.................................Jk should be sweating under his collar...........
 
Read Kumbukumbu ya Torati 18:22.............Prophets of doom shall surely die....or must be put to death.......................
 
Tanzania nchi za nje inajulikana kwa ushirikina na kutegema waganga wa kienyeji.
 
kwani hamjui JK ni bingwa wa kuhudhuria mazishi...??Pata picha,yupo kikaoni usiku kapanda pipa fasta kuja kuwahi mazishi yake...
 
Taarifa ya habari ya Channel Ten Yasema Marehemu Sheikh Yahya kaacha mjane na Watoto Kadhaa...! Ina maana Marehemu hakuwa na Record ya idadi ya Watoto wake kufanya hadi Waandishi wasiweze kujua idadi na wasi wasi JK anaweza kuwa ni mtoto wake wa hiali!! au Ndie Anaweza kuwa mrithi wake pindi akipoteza Ukuu Wake kabla ya 2015.
 
Rais tunaye, huyu hata angesikia treni imeanguka na kuua watu wote asingerudi Namibia haraka hivyo, ila kwenye mazishi ya sheikh wake amekubali kuacha shughuri ya kufunga mkutano ili awahi.
 
Wacha wachawi wakumbukane wenyewe kwa uchawi wao, sielewi kama unajimu ndio kufuga majini? kwa nini waislamu tu ndio wafuga majini?
 
JK amepata pigo takatifu, mpaka amerudi nchini kwa ajili ya kuhudhuria msiba, mnakumbuka kipindi cha milipuko ya mabomu ya Gongolamboto, pamoja na vifo vya watu wengi jamaa alikwea pipa kwenda ughaibuni huku Watanzania tukilia na kuomboleza vifo vya wenzetu.
 
Tuache utani. Jamaa kaachilia mkutano akaja wangu wangu kuhudhuria mazishi ya mganga. Hii inaonesha wazi, ndani yake kuna nini. Imani yake ipo katika nini na anaamini nini. Hii inatosha kusema kwa nini nchi yetu inakwenda mrama. Namshauri, "Mrudie Mungu wa kweli naye atakubariki, la sivyo laana ipo nawe. Huwezi kuongoza nchi kwa njia ya majini, na mashetani. Mungu atakurudi mda si mrefu usipofanya mabadiliko ya haraka."
 
Mimi Naishi Nje ya Nchi lakini taarifa nilizozisoma ni aliacha watoto 25 na alikuwa anaishi na Mke Mdogo Miaka 32

Mtoto anayerithi kazi zake anaitwa Hassan
 
Tupe ushahidi kuwa utabiri si ramli na kuwa imeruhusiwa katika uislam.
Ingekua hairuhusiwi ningeacha.
Usiwe unaongea hivyo tena bila kuweka ushahidi uliopewa wa kukataza. Yawezekana uelewa ukawa tafauti.
 
Mimi Naishi Nje ya Nchi lakini taarifa nilizozisoma ni aliacha watoto 25 na alikuwa anaishi na Mke Mdogo Miaka 32

Mtoto anayerithi kazi zake anaitwa Hassan

Kwani ungechangia mchango wako tu kwenye hii mada bila kusema unaishi wapi ungepungukiwa na nini? wapo wanaoishi magomeni lakini hawajui lolote kuhusu huyu mchawi Sheikh Ubwabwa.
 
Back
Top Bottom