Kweli watu wamemchoka Jk.
kwa hyo Just kidding ana pacha wake anamwalibia, kumbee kuna dr.jk na Just Kidding.
kwa hyo Just kidding ana pacha wake anamwalibia, kumbee kuna dr.jk na Just Kidding.
Nimefungua hii thread nione JK alioga hayo matusi na dhihaka kumbe na wewe unaomba kwa wengine wakuwekee hayo matusi
Kweli JF ni uwanja wa fujo kila mtu nafujo zake! Haya tusubiri
What wrong goin on
taifa la mazuzu wengi ni rahisi sana kupata rais zuzu,nambo jina la huyo jamaa ambaye ni identical twin na rais wetu mpendwa.aache na ashindwe na alegee kumdhalilisha mpendwa rais wetu. serious nawaambianrais wa nchi yetu tz hawezi na hana muda wa kupiga picha na 50cents.HUYO ATAKUWA KIKWETE TU,NINA UHAKIKA RAIS WA NCHI YANGU HAWEZI. mkome kumsingizia
ha ha! Acha uoga wa kunguru.
Thanks man mmmmh hii nazi ikisoma lazima itapasuka tutamuwekea tikiti nwAlovaa suti(passport size) na katoa macho ka fundi saa na miwani::::::
Kama Rais,hakutakiwa kutoa kauli kama hiyo.Huwezi kufurahia diversity ya kuongezeka kwa umasikini.Ni statement ambayo haikuhitajika na haina maana yoyote.Eti with such diversity!Umasikini na hali mbaya kwa wananchi vimeongezeka,hii diversity si ya kuwa proud of,sana sana unawapa watu machungu tu.Kazi kweli kweli.Ndo hii kaweka!!
We are a nation formed by people from 126 tribes;who belong to different races and religions;people of different backgrounds:the rich and the poor;the educated and the illiterate,a country with such diversity to have survived for fifty years where several other countries have failed is something to be proud of.
Kama Rais,hakutakiwa kutoa kauli kama hiyo.Huwezi kufurahia diversity ya kuongezeka kwa umasikini.Ni statement ambayo haikuhitajika na haina maana yoyote.Eti with such diversity!Umasikini na hali mbaya kwa wananchi vimeongezeka,hii diversity si ya kuwa proud of,sana sana unawapa watu machungu tu.Kazi kweli kweli.
Hahahaha... Hivi weye unadhani jk anamuda wa kupoteza facebook!...???! Huyo obvious ni mtu kaamua kutumia jina la jk!.. Hata mimi naweza nikaamuwa na kutengeneza id nikaipa jina jk...
unataka kusema id moja inaweza ikawa inatumika na users tofauti tofauti? Labda useme jk hana muda wa kupoteza jf ila fb anao.