safi sana jk! hakuna raisi wa tanzania aliyewahi kuthubutu kama wewe
For sure kajitahidi but safari ya jk ni ndefu kwenye maamuz magumuHongera JK kwa kufanya maamuzi mazito, magumu na ya kiume. Sasa wapinzani wako sijui watapata wapi cha kuongea? Umethubutu, Umeweza sasa hebu SONGA MBELE!
Hongera JK kwa kufanya maamuzi mazito, magumu na ya kiume. Sasa wapinzani wako sijui watapata wapi cha kuongea? Umethubutu, Umeweza sasa hebu SONGA MBELE!
We have a good and Strong Leader
thanx JK
We have a good and Strong Leader
thanx JK
Ganja bwana! hatari sanaWe have a good and Strong Leader
thanx JK
Jairo ndo stering kwenye hi moveeKweli hii movie kiboko, hapa unashindwa kujua stering nani.
wana jf napata taarifa ya ile filim ya jairo inaendelea baada ya mh. waziri mkuu mizengwe pinda kulijulisha bunge kwamba jairo amerudishwa likizo kupisha uchunguzi. wana jf hebu tujadili hii inatosha? kwanini wasiwapeleke likizo CAG,Katibu mkuu kiongozi,pamoja na waziri wa wizara husika? je si ndio muda muafaka wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais kwani amepingana na hawafanyi kazi kwa ushirikiano na waziri mkuu pamoja na bunge, kwanini waziri mkuu asijiuzulu? naomba kuwasilisha
Mimi siungi mkono hili hata kidogo kwa hali halisi hawa wafanyakazi walikuwa na nia tofauti. Wengi wao itakuwa ni WOGA kwani Luhanjo alisema waliotoa siri wachukuliwe hatua sasa wewe utaona wenzio wanasherehekea na wewe ukae tu ofisini?? si ndo mwanzo wa kushilkwa uchawi hapo??
Nyie acheni tu Organization Politics za SIRIKALI ni ngumu sana
hahaha mpaka asome maoni ya JF ndo anachukua maamuzi ..lolWe have a good and Strong Leader
thanx JK