JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

Leo kupitia vyombo vya habari (tbc1) jakaya kikwete amemuandikia barua jairo kwa kumtaka asimame kazi adi atakapo amua yeye bila kujali muda wala tarehe ya kumrudisha kazini kesho nitaandika habari kamili
 
Hili nalo changa la macho ati!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Lakini lazima kuna kitu hakiko wazi mpaka sasa.
Wale wenye kuyajua mambo haya kwa undani ni heri watujuze
Mbona mambo yamefichama sana jamani?

kinachofanyika sasa ni kuziba mianya ya mashaka ili watanzania wasizidi kuwa na wasiwasi na maamuzi ya Ikulu

hata hii taarifa ya Kurugenzi Mawasiliano inatekeleza hilo
 
Punguza JAZBA.
teh teh!! usiombe ukawa wewe ni gamba, halafu mbaya zaidi uwe ni gamba ambalo ama shule NO au iko shule nusu nusu/ya kuunga unga. wanakuwaga kama maroboti hawa coz wanaendeshwa zaidi, si kwa ubongo, bali kwa itikadi kali wanazolishwa kwenye makambi ya chama. Jazba zao huwa haziishii kwenye kutukana tu hata kukupiga au kukuua kabisa si tatizo kwao, almradi tu magamba yaendelee kutawala. Ukisoma wanachoandika unaona mtu anaandika upupu tu lakini anaandika kwa kujiamini kweli na kudharau wengine. Hii ni kutokana na kuwa wameaminishwa wao ndo watawala daima na watanzania wengine wenye itikadi tofauti na wao hawana nafasi na ni kama nusu watu. Mwisho wa yote mtu kama huyu Zombe huishia kuwa kama Ghadaf, hataki kutoka hata kama hali halisi ndo inamtaka atoke. ni ving'ang'anizi hata ikibidi kupoteza maisha ya watu, wanaamini wao ndo wao na wengine hawawezi/hawajui...shortly they are dictators
 
Daaaaaaaaaaaaa!.... inasikitisha kwa kweli, kwa hiyo huyu bw. D. JEURI analipwa akiwa ametuhumiwa? na huo mshahara anaolipwa bw. D. JEURI ndo kodi zetu sisi au za watu gani?
 
Back
Top Bottom