Esokoni

Member
Aug 1, 2018
81
116
HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine, ila hii imeboreshwa zaidi na hapa unatoa risiti kwa kutumia kompyuta, simu au kifaa chochote kinachotumia internet.

nimekuwekea hapa ni sifa za kipekee za Dirm VFD kisha fanya maamuzi sahihi kwa kupiga au whtsp 0753688348

IMG_-e6dimc.jpg

IMG-20220124-WA0006.jpg

IMG-20220124-WA0003.jpg
 
HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine, ila hii imeboreshwa zaidi na hapa unatoa risiti kwa kutumia kompyuta, simu au kifaa chochote kinachotumia internet.

nimekuwekea hapa ni sifa za kipekee za Dirm VFD kisha fanya maamuzi sahihi kwa kupiga au whtsp 0753688348

Bei ni shiling 300,000 ( inajumuisha system na printer yake) ukihitaji system peke yake ni 150,000 tu.

IMG-20220124-WA0007.jpg
 
EFD bei gan na I hiyo ni bei gani .tuanzie apa kwanza
EFD ni 590,000 na Dirm VFD ni 300,000, service charge ya EFD ni 250,000 kwa mwaka huku ni 60,000 ( na haubebi mashine kupeleka ikafanyiwe kazi inafanyiwa online unaendelea na shughuli zako,) EFD unatoa z-repoart 1000 na point inafikia ukomo kwamba inakufa inabidi ununue nyingine lakini hii ukifunga ndio maisha yote na z-report zindaenda automatic.
 
kwanza nikujuze kuhusu DIRM VFD, huu ni mfumo mpya wa kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta.
Huu mfumo umethibitishwa na TRA ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, hakuna marekebisho ya mara kwa mara, inapunguza garama mpaka 50%.

nimekuwekea hapa ni sifa za kipekee za Dirm VFD kisha fanya maamuzi sahihi kwa kupiga au whtsp 0753688348.

flyer vfd-01w-01.png
 
EFD ni 590,000 na Dirm VFD ni 300,000, service charge ya EFD ni 250,000 kwa mwaka huku ni 60,000 ( na haubebi mashine kupeleka ikafanyiwe kazi inafanyiwa online unaendelea na shughuli zako,) EFD unatoa z-repoart 1000 na point inafikia ukomo kwamba inakufa inabidi ununue nyingine lakini hii ukifunga ndio maisha yote na z-report zindaenda automatic.
Unapatikana mikoani?
 
Zimebaki siku mbili tu mamlaka ya mapato Tanzania kuanzisha kampeni maalumu ya KAMATA WOTE mikoa yote 'Muuzaji kukutwa hajatoa risiti faini yake ni kuanzia 3,000,000 hadi 4,500,000...

Ili kuepuka na faini pamoja na kadhia hiyo jiunge na mfumo wa DIRM VFD ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta kwa kwa shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer).

Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, inapunguza garama mpaka 50%, hakuna marekebisho ya mara kwa mara n.k.

Wasiliana nasi Dirm VFD kupiga au whtsp 0753688348

273117120_247895404185123_3289515850435044641_n.jpg

271554952_456819542621609_2995511001081793644_n.jpg
 
Zimebaki siku mbili tu mamlaka ya mapato Tanzania kuanzisha kampeni maalumu ya KAMATA WOTE mikoa yotenili kuepukana na kadhia ya Kukamatwa na TRA 'Muuzaji kukutwa hajatoa risiti faini yake ni kuanzia 3,000,000 hadi 4,500,000...

Ili kuepuka na faini pamoja na kadhia hiyo jiunge na mfumo wa DIRM VFD ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta kwa kwa shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer).

Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, inapunguza garama mpaka 50%, hakuna marekebisho ya mara kwa mara n.k.

Wasiliana nasi Dirm VFD kupiga au whtsp 0753688348

View attachment 2101549

View attachment 2101550
Wamechelewa Sana kuanzisha hii kampeni..

Mwaka ujao serikali ipunguze utitiri wa Kodi na double taxation Ili kuinua uchumi zaidi na kukuza biashara..
 
Zimebaki siku mbili tu mamlaka ya mapato Tanzania kuanzisha kampeni maalumu ya KAMATA WOTE mikoa yotenili kuepukana na kadhia ya Kukamatwa na TRA 'Muuzaji kukutwa hajatoa risiti faini yake ni kuanzia 3,000,000 hadi 4,500,000...

Ili kuepuka na faini pamoja na kadhia hiyo jiunge na mfumo wa DIRM VFD ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta kwa kwa shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer).

Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, inapunguza garama mpaka 50%, hakuna marekebisho ya mara kwa mara n.k.

Wasiliana nasi Dirm VFD kupiga au whtsp 0753688348

View attachment 2101549

View attachment 2101550
Si tuliambiwa mapato yameongezeka watu wanaenda kulipa wenyewe bila shuruti😀😀
 
Kwahio wameona njia nzuri ya kufanya watu waweze kulipa kodi na kuwasaidia kwenye makusanyo ni kuwauzia kitendea kazi cha makusanyo hao ?

Kwanini software isiwepo tu mtu unaunganishwa ili uweze kutumia device yoyote au wasisambaze devices hizo kwa watu ? (Hii nchi bado sana) kwahio watakamata watu na kuwapeleka wapi gerezani ili watumie makusanyo kuwalisha ?
 
hiyo software unaweza kutumia kwenye simu yoyote haihitaji kuistall na unaweza kuunganisha na simu zaidi ya moja, mfano wanafanya biashara ya kusambaza bidhaa haihitaji kila gari inayotoka kwenda kusambaza mzigo iwe na mashine ya EFD akiwa na simu yake na printer ndogo inatosha kutoa risiti.
 
Back
Top Bottom