barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,298
- 656
25/october
My twin
Umeamua kusogeza tarehe? Umechoka kusubiri?Jirani yangu ngoja niendelee kusaka wa 23 Dec
As @MamaAllanDah afadhali nimepata mwenzangu hata mimi ni 24 April
16 juneHuu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
Hahaa okukaya nunenee tulihamooo..December 24 usiku.
Tuko pamojaPamoja sana mkuu, pia nimezaliwa tarehe hiyo hiyo
angalau kumbe tupotupoTwin
shikamoo braza!umeniacha siku2 tu.ulikua kiherehere sana ungewait tukatoka woteFeb 3
Wewe sjui wa ngapi ss, karibu team 24/12DEC 24
Hahahaaa we can merge n cerebrate on 4th febshikamoo braza!umeniacha siku2 tu.ulikua kiherehere sana ungewait tukatoka wote
Ndugu yako humu BansenBurner keshaliiiiiiiiiaaa....23rd Dec. 196.
kipi kimemliza ?N
Ndugu yako humu Bunsen Burner keshaliiiiiiiiiaaa....