Nice to meet you, my twin.. Mimi pia 31 March31 mach
Nice to meet you my twin. Mimi pia 31 march31st March
Waoo Thanks a lot my twinNice to meet you my twin. Mimi pia 31 march
You are my birthmate18th April
Same to me8 December welcome
Ilibaki kidogo nijiite UHURU
Mwenzangu8/8
Nalog off
tarehe hii huwa adim sana kuna miaka mingine unapita bila kukumbuka siku yako ya kuzaliwASisi wa 29 February inakuwaje wandugu Hii tarehe ni adimu sanaaa
Bas nawaunganisha mi 24 DesJirani yangu ngoja niendelee kusaka wa 23 Dec