Jitambue: Herufi ya Kwanza ya First Name Yako Na Uhusiano na Tabia Yako Ya Sex

Umaskini na mawazo mgando huwa unamfanya mtu asifanye kazi na kukaa akiwaza na kutegemea bahati. Mafanikio kwenye maisha hayaji kwa accident au utabili! Work hard!
 
Yahya Hussein (Y H) Hayamo lakini Alikuwa Juu kwa Kuuza Majini White House
 
mimi mbona majina yangu halisi yote matatu herufi zake zipo ndani ya hizo herufi ulizoweka.....lakini nimefulia mbaya kabisa....,,,wapi nimekosea....?

akili ya mbayuwayu changanya na ya kwako
 
Leo nimemkumbuka sana aliyekua gwiji wa elimu ya unajimu A. Mashariki na kati Hayati Shekhe Yahaha Hussein ambaye katika uhai wake alishawahi kuzungumzia habari ya mahusiano ya herifu ya mwanzo katika jina na mafanikio ya kimaisha. Katika kiswahili na kingereza kuna herufi 26 lakini alizitaja herufi kuu 12 ambazo zina mahusiano na mafanikio endapo tu herufi hizo zitakaa mwanzoni mwa jina, herufu zenyewe ni A, B, F, J, K, L, M, N, O, R, S na W.

Alitoa mifano ya watu wengi duniani ambao herufu za mwanzo za majina yao (lazima yawe mawili au kuendelea na si moja) zinaanza na herufi moja yao kati ya hizo. Eg,

1. Jakaya Mrisho Kikwete (J, K na M)

2. Julius Kambarage Nyerere (J, K na N)

3. Ally Hassan Mwinyi (A na M)

4. Abeid Amani Karume (A, A na K)

5. Benjamin William Mkapa (B, W na M)

6. Rashid Mfaume Kawawa (R, M na K)

7. Wilbrod Peter Slaa (W na S)

8. Freeman Alkael Mbowe (F, A na M)

9. Abraham Lincolin (A na L)

10. John Kennedy (J na K)

11. Juma Kassim Nature (J, K na N)

12. Juma Kasseja (J na K)

13. Nancy Sumari (N na S)

14. Wema Sepetu (W na S)

15. Raila Odina (R na O)

16. Reginald Mengi (R na M)

17. Robert Mugabe (R na M)

18. Steven Kanumba (S na K)

19. Nape Moses Nnauye (N na M)

20. Barack Obama (B na O)

Embu tumuenzi kwa kuongeza idadi ya majina ya watu wenye mafanikio ama maarufu kwa kutumia ukokotozi huu wa herufi.


wizi mtupu, kwenda huko na ujinga wa 'marehemu'
 
Heri ya Mwaka mpya 2012 wana JF.Tokea nimeanza mambo ya mausiano ya kima penzi nimebaatika kuwa wengi kiasi,ila kwa kipindi cha mfululizo hadi sasa nimekua na wapenzi wanne na majina yao yanaanzia na herufi B`nia Beatres wawili na Bahati wawili.Je hi inawezakua na maana yeyote? Naombeni msaada.
 
Hata visivyo na maana vinalazimishiwa maana.

Ukijua nijuze, mi nataka kujua kwanini siwezi kuchungulia ndani ya pua yangu bila kioo.
 
hongera kwa kubahatika kuwa na wapenzi wengi kiasi

kuwa na akina -B wanne kunamaanisha inabidi uwe na akina -C sita, D watano, E saba na akina-F kumi!
 
duh, mna mambo
tafuta utabiri google
herufi za mwanzo za majina na tabia zao

ukimaliza tafuta nyota za miezi walizozaliwa

afu tafuta tabia za wanawake za makabila wanayotoka

afu tafuta tabia zao kwa kuangalia shape za nyuso zao eg duara, nyembamba, oval etc

afu tafuta tabia zao kwa kuangalia mistari kwenye mikono yao

labda utapata unachotaka kusikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom