Jitambue: Herufi ya Kwanza ya First Name Yako Na Uhusiano na Tabia Yako Ya Sex

nimekusoma nikahisi labda hujaona heruf yako..... kumbe iko namna hii ndo maana ukasema wizi mtupu,,,,ha hahahhaha....
Wizi mtupu!
>HERUFI X
>Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu. Herufi X inawakilisha Nyota ya Samaki.
 
Shkh Yahya
user-online.png

Senior Member




mPM huyu zitamfaa
 
>HERUFI B
>Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Herufi B inawakilisha Nyota ya Ngombe,

hiii ina ukweli kabisa.nimejionea kwa macho
 
Eeee waaaah!!!!
Ingawa sikuamin nimejifariji kwa hili SMASHER!!!

>HERUFI S
>Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa. Herufi S inawakilisha Nyota ya Mizani

 
Sikujua kama imekuwa burudani namna hii. Kumbe kila moja ana fit kwenye herufi ya jina lake.
 
nimekusoma nikahisi labda hujaona heruf yako..... kumbe iko namna hii ndo maana ukasema wizi mtupu,,,,ha hahahhaha....

>HERUFI X
>Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu. Herufi X inawakilisha Nyota ya Samaki.

Basi ukhti Nilham mimi nitaanza na ayah hii kutoka kwenye Qur'an:

Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
Q 005:90

Ukhti Nilham bint Rashed, unajuwa kuwa akili ing'aayo ni chemchemi neemevu inayomwendeleza mtu mbele zaidi kuliko mahitaji ya kidunia na inamjulisha ulimwengu mwingine pia. Fikra nzito na aali humzuia mwerevu asidanganyike na ulimwengu. Yule aliyekikuza na kukiimarisha kipaji chake cha fikra (akili) na akakifanya kuwa ni kitovu cha uvutano katika maisha yake, atakapofikwa na matukio machungu na mabaya, atachukua hatua inayofaa ya kifikra badala ya kuyakabili vibaya, na atabaki imara kamajabali. Na si kukimbilia wapiga ramli na watazamao nyota ili kupata ufumbuzi wa matatizo yao, kwani kufanya hivyo ni shirki kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu.

Ili tujitoe katika mazingira ya fazaa na jahazi la uhai wetu lisikumbwe na mawimbi makubwa na madogo, ni lazima tuzidhibiti fikra zetu mpaka tafakuri sahihi zishike uongozi wetu, na nguvu zetu zote za kiroho ziweze kujizatiti na kusimama dhidi ya vitu vinavyoleta madhara na vinavyosababisha wasiwasi katika maisha yetu, yakiwemo haya ya kutazamia ramli na upigaji bao.

Uislamu kwa kutia nishati ya imani katika nyoyo za wafuasi wake, huhimiza na huimarisha msingi wa kudhaniana vizuri na kuaminiana kati ya watu; na kwa njia hiyo huuelekeza mwendo wa jamii katika mazingira yanayofaa na yaliyojaa itibari na utulivu.

Ni wajibu kwa kila Mwislamu amdhanie vizuri Mwislamu mwenzake, na aitazame amali ya mwenzake kwa njia sahihi na ya kisheria. Haruhusiwi mtu yeyote kuchukulia kitendo fulani cha Mwislamu kuwa ni kibaya na cha kifisadi kama hana ushahidi madhubuti na wa dhahiri, Basi ni hayo tu ukhti bint ami... Utanisamehe kama nitakuwa nimekukwaza.
 
>Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo. Herufi J inawakilisha Nyota ya Mbuzi,KWA HABARI HII NAWEZA KUAMINI KUPITIA KWA JK.
 
nimeiona ya kwangu.. he he hee lol..
>HERUFI N
>Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana. Herufi N inawakilisha Nyota ya Ngombe


NR Mzima weye? Miye poa kabisa? Una wivu wa kufa mtu? LOL!

Yangu hii hapa
>HERUFI B
>Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Herufi B inawakilisha Nyota ya Ngombe,
 
Aisee,kama vile kuna kaukweli kwenye herufi yangu.

Hapa haijakaa vema nadhani mwandishi aliamanisha herufi "T" nilikuwa nataka kujua tabia ya TATIANA maana amesema kama kuna ukweli fulani hivi nikakuta umetulisha tango pori mzee.

">HERUFI T
>Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni wepesi kushawishika. Herufi S inawakilisha Nyota ya Nge "
 
Hahahahahahahaha vipi swahiba wangu? LOL! Nimecheka sana baada ya kuiona X na mtiririko wake LOL! Miye poa kabisa Mkuu
Mkuu umepotea sana siku hizi, hata online hatuonani, matumaini upo na amani.Mkuu mashaka matupu siku hizi JF, tupo kwa ajili ya mazoa tu.
 
Mwangalieni Jakaya na Rostam, kwa Jakaya wamekosea kidogo kwa Rostam je?
 
Kweli sanasana kwa herufi yangu na watu wangu wa karibu. thanx a lot
 
>HERUFI M
>Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika. Herufi M inawakilisha Nyota ya Punda


huu ni wizi tu, mi ni herufi M, na nyota yangu sio punda, sijiamini kihivyo, si mropokaji

 
>HERUFI Q
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana. Herufi Q inawakilisha Nyota ya Simba

hahahahah lol
duuhh natamani kujua jina lako sasa dear..
nimewaza sana jina gani linaanziwa na Q hahah lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom