Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 13,702
- 18,914
- Thread starter
- #161
- Ndugu NGARUKA
- Katika biashara hii ya mtandaoni kitu cha kwanza huwa ni uaminifu. Japokuwa wapo wengine si waaminifu, na huwa haangalii future ya biashara zao.
- Ondoa shaka juu ya usama wa fedha yako, utatumiwa mzigo mahala popote ulipo.
- Wewe utatoa maelekezo ni basi lipi litumike kusafirishia decorder yako na itakufikia salama.
- Kwa wateja wa mikoani ndio njia pekee itumikayo
- Mzigo unatumwa pindi tu, baada ya kupokea malipo.
- Kama una ndugu/ Jamaa/ Rafiki hapa dar es salaam
- Mpe hiyo fedha, kisha mpatie namba yangu, nitampa maelekezo wapi aje achukue decorder
- Atalipia na kupewa decorder hapo kwa hapo
- Bado mchakato wa kuwa na mawakala mikoani unaendelea
kaka mimi nina maoni.
naomba uwe na wakala au mtu wa kumuagizia hvyo vifaa yaani unampa mtu receivers then unamuagizia mteja wako akachukue kwake.
- Nimepokea ushauri na unafanyiwa kazi
- KARIBU
kaka mimi nina maoni.
naomba uwe na wakala au mtu wa kumuagizia hvyo vifaa yaani unampa mtu receivers then unamuagizia mteja wako akachukue kwake. Mimi binafsi nmeshatenga bajeti ya hyo kitu(qsat&1yr accnt) na bado sina bajeti ya kuja dar. kwa nini usituletee Mwanza kaka?
si unajua hela haina mjanja ukilinganisha na ujanja mpaka viongozi wanachota hela kiaina.
Plz nakuomba nasi wa mikoani utufikirie nadhani wapo wengi wanoshindwa kwa sababu hyo.na kwa Mwanza mimi mwenyewe fundi wa madishi na kuweka channel hz za fta na vingamuzi kama utakuwa interested unaweza hata nitumia mimi uje tuonane tupeane condtion UWARAHISISHIE wateja wako.
NI UWHAURI TU BRO.
Last edited by a moderator: