Elisante Yona
Senior Member
- Oct 6, 2009
- 130
- 24
Ndugu Wanajamii,
Kitabu cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania,
Ninawatakia soma njema
Kitabu cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania,
Ninawatakia soma njema
Ndugu Wanajamii,
Kitabu cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania,
Ninawatakia soma njema
Wengi matatizo yetu ni hayohayo. Jinsi ya kukipata shida. Mwenye kuweza atusaidie ili tuweze kudownload.mi naona wengi tu tunakihitaji - akikiweka hapa tu download itakuwa ametusaidia sana, MM plse! wengi wetu kununua online inakuwa tatizo kidogo.
Natafuta kitabu kilichoandikwa na J.K. Nyerere, "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" kwa Kiswahili au Kiingereza.
Jitihada za kukipata mitaa ya Dar zilishindikana baada ya kuambiwa 'udaku' kwamba kimepigwa marufuku kinamna. Madukani mwa vitabu mwote nilimopita kukiulizia waliniona juha, kana kwamba 'kila mtu anajua' kitabu kilipigwa marufuku.
Madai hayo ni ya kweli au uzushi tu wa uchaguzi?
Shida yangu ni nakala moja tu ya kitabu hicho kwa ajili ya rejea ya kitaaluma.
Natanguliza shukrani.
Amazon.com: Mlenge Fanuel Mgendi: Books, Biography, Blog, Audiobooks, Kindle
=============
UPDATE by JF Admin:
Kwa msaada wa mkuu SubiriJibu kitabu kimepatikana, nakala inaweza kupatikana chini hapa