Uongozi wetu na hatima ya Tanzania by Mwl Nyerere

Ngarenaro

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
308
45
Wakuu heshima mbele.

Nina shida na kitabu cha baba wa Taifa, Uongozi wetu na Hatima Ya Tanzania. Niliwahi kukiona hapa Jukwaani lakini nimekitafuta bila mafanikio, kwa yoyote ambaye anaweza kunipa Link, atakua amenisaida sana.

Pia si vibaya mwenye Link ya Tujisahihishe akatuwekea hapa ili Tuweze kujifunza na kuchukua hatua katika Ujenzi wa Taifa letu.

Mubarikiwe sana.
 
Kilishakuwa uploaded hapa JF tangu mwaka 2007, wewe search vizuri tu utakipata.
 
Mkuu nakumbuka lakini nimejitahidi sana kukitafuta bila mafanikio, kuna wakati walikua wamekiwekea STICK kwahiyo kilikua kinapatkana kwa urahisi, sasa hivi kukipata imekua shida, kama unaweza kunipa link utakua umenisaidia sana.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Wakuu heshima mbele.

Nina shida na kitabu cha baba wa Taifa, Uongozi wetu na Hatima Ya Tanzania. Niliwahi kukiona hapa Jukwaani lakini nimekitafuta bila mafanikio, kwa yoyote ambaye anaweza kunipa Link, atakua amenisaida sana.

Pia si vibaya mwenye Link ya Tujisahihishe akatuwekea hapa ili Tuweze kujifunza na kuchukua hatua katika Ujenzi wa Taifa letu.

Mubarikiwe sana.

Kilishakuwa uploaded hapa JF tangu mwaka 2007, wewe search vizuri tu utakipata.
.

Mkuu
.
Mkuu Ngarenaro kama jinsi alivyosema Mkuu Kichuguu. ukitafuta vizuri utakipata ... ILA unaweza ku-download hapa

Hiki hiki kitabu kipo sehemu mbili

Kuna kimoja Original cha Mwl Nyerere na kingine nafikiri Mkuu aliki-edit kuendana na mazingira ya sasa .. nafikiri yeye alikiita Uongozi Wetu na Hatma ya Tanzania (Toleo ya Kizazi kipya)

Link za Ku-download hizi hapa

1: Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania (1994) - Mwl Nyerere

Download: http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/Kitabu-Uongozi_wetu_na_Hatma_ya_Tanzania-JK_Nyerere.pdf

2: Uongozi wetu na Hatma ya Tanzania - (Toleo la Kizazi Kipya)

Download: http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/Kitabu-Uongozi_wetu_na_hatma_ya_Tanzania-Mwanakijiji.pdf

attachment.php
 
Mkuu DotWorld heshima kwako nimefanikiwa kukipata hiki kitabu kwa msaada wa Link uliyonipa, nakushukuru sana ndugu yangu.
 
Tuko pamoja Mkuu Ngarenaro nakutakia usomaji mwema!

Mimi ninacho yaani copy zote mbili Swahili na English. Nilikinunua pale TPH Bookshop, D'Salaam. Binafsi sikuwa nacho kwa miaka mingi kwani nilikipoteza wakati nahama kwa kaka yangu mwaka 1996.

Madukani kikapotea kwa kipindi kirefu. Inawezekana walikuwa hawataki kionekane mitaani na wakakificha. Lakini mara kilipokuwa uploaded humu JF ndipo kikafunguka na madukani. Ni wazi kuwa kama kimeshawekwa Jamii Forum basi hakuna ujanja zaidi isipokuwa kuacha kisambae huko mitaani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom