Jipatie King'amuzi Cha dstv na internet bure bila malipo yeyote ya mwaka

Status
Not open for further replies.

munjy1

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
564
139
Kwa masikitiko na furaha kubwa pia natangazia rasmi kujitoa katika biashara zote za decoder za kichina na biashara zote za internet kama pdproxy pamoja na biashara zote za kuuza account kama cccam, avatarcam na nyengine zote zinazofanana na hizi.
Pia nachukuwa fursa hii kuwaomba radhi wote nilowakosea kwa namna moja au nyengine. Pia napenda kuwajuilisha wote wanaopokea updates kutoka kwangu nimeacha rasmi kutuma any updates inayohusiana na huduma nilizokuwa nikitoa. Kuanzia mwezi June ninaanza masomo na sitakuwa muda wa kufanya au kushughulikia tatizo la mtu yeyote. Poleni kwa usumbufu na nawaomba wenye matusi yao au pongezi zao.
Nawatakia maisha mema ya mafanikio mema na kuwa muangalifu usije kutapeliwa na wengine kama nilivyowatapeli mimi.
Ahsanteni na kwaherini.
Thread hii ilianzia hapa https://www.jamiiforums.com/tech-ga...rld-cup-2014-na-ligi-zote-miezi-ya-mbele.html
 
Bora hivyo naona umegundua dhambi uliyofanya. Muombe Mungu akusamehe. Pia kasome itakusaidia kuachana biashara haramu. Nakukaribisha kama unataka ukasome nini iliuweze kujiajiri au kuajiriwa.
 
  • Mkuu munjy1 QSAT bado ni nzuli kwa FTA channel na wadau wengi bado wanazihitaji hizi receiver, hebu jaribu kurifikilia hili na uangalie jinsi ya kuendelea kuwasaidi kuzipata kiurahisi bila kuathili ratiba zako za kimasomo
 
kuna siku hapa nilisoma umeandika watu wote uliowauzia unataarifa zao haya warudishie pesa zao kwanza
 
Dah! afadhari mkuu, usisahau pia kutubu mbele ya Mungu akusamehe zambi zako. Halafu uamuzi wako umekuja wakati muafaka maana uliwadanganya watu kua paytv zote hazipumui kwa g6 hivyo hata startimes wakiingia ktk sattelite itafungua tu, sasa nao wapo ktk sattelite ila g6 haifungui kama isivyofungua My tv africa na DSTV. Big up Arselona kwa kukataa kiingiza hivi vidude ktk thread yako ya FTA kama alivyotaka uncle lukuz vijadiriwe.
 
Last edited by a moderator:
Bora hivyo naona umegundua dhambi uliyofanya. Muombe Mungu akusamehe. Pia kasome itakusaidia kuachana biashara haramu. Nakukaribisha kama unataka ukasome nini iliuweze kujiajiri au kuajiriwa.

Haya nitajie masomo ya kwenda kusoma basi pia faida kwa wengine
 
dah! sasa kama bado 2tahitaji Qsat ndo tusahau kabisa

Sidhani kama yupo anaehitaji Qsat japo utendaji wake kwa sasa ni mkubwa ila mimi nishajitoa unless ila basi siongei kitu. Ukihitajia nipigie nitakupa contacts wanaotoa huduma bora zaidi.
 
Tupatie account zetu za g6 ili tuangalie japo Beinsport.

Sasa account za kazi gani na hivi ni vikopo mnashauri watu wasinunue mbona sikueleweni nyinyi watu?
Tuma serial number ya G6 yako au nitumie email addresa yako kwa kutumia namba yako nilokusajili nitaijua kiurahisi serial namba kana wewe huijui.
Tena please usiendelee kunichafua naweza kuwa hata hiyo account nisikupe
 
JF Juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
HAPA UMOJA NI NGUVU IMEDHIHIRIKA baada ya kumchachafya mpaka kumgoa ndumilakuwili/Panya Roada/Jambazi/tapeli/Kanjanja wa JF/Jambaka/dagaa wa EPA
Pamoja na makeke yote ameona mabaya yatamfata........tena una bahati tulishapanga kukuwekea mtego hapa Dar, yaani tungekufunga maana hujui mitaani wanavyokuzungumzia kwa utapeli wa wako wa muda mrefu
Tena usituzingue kuwa unakwenda kusoma........hiyo ni zingua na danganya toto
Nenda ukatubu na kurudisha fedha ulizotapeli otherwise kilio chao kitafuata popote utakapokuwa..... ukifanya hivyo utakuwa GOOD BOY, Lakini congratulation kwa kuona haya na AIBU
Chezea JF wewe, leta utapeli, tuna vichwa vya kila aina humu ndani utaishia segerea dogo wewe
 
mkuu @ munjy1 binafsi nasikitika kwa kuchukua hatua hii,kifupi nashukuru na nimefurahia customer care yako na sikupenda ifikie mwisho!

mimi nilipata toka kwako g6 na mbali na kutokuwa stable hewan kwasasa bado inafanya vizuri kupindukia FTA.
so all in all sina cha kulalamikia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom