Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

Ikifika usiku MDA wa kulala.

Chukua clip za EX,(zenye miguno na kelele nyingi)
Kisha play kwenye kwenye sabufa kwa sauti kubwa.
Afu weka repeat mode.

Afu funga chumba chako,
Kisha Nenda zako kalale LODGE utarudi kesho yake asbh kushakucha

Fanya hivyo kwa wiki nzima, TATIZO LITAISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga hizi namba za mamlaka inayohusika na Kelele na mitetemo waje washughulike nae
0800 110 115
0800 110 116
0800 110 117

Hao ndio hasa wanahusika na uchafuzi mazingira kupitia kelele na wana vipimo kujua kama viwango vimezidi.

NB:Ulete mrejesho
Angalau wewe jibu lako linatia matumaini..nimejaribu ila hawajagi kabisa hawa watu
 
Nunua Sabufa lako la 200k,tia nyimbo za fujo fujo kwenye flash, liwashe mida ya jioni. Fungulia sauti mpk mwisho, funga mlango wako alaf ww nenda katafte pa kulala hata siku mbili, ukirud tupe mrejesho.
Njia nzuri sana hii ila watakushtaki mkuu
 
Ikifika usiku MDA wa kulala.

Chukua clip za EX,(zenye miguno na kelele nyingi)
Kisha play kwenye kwenye sabufa kwa sauti kubwa.
Afu weka repeat mode.

Afu funga chumba chako,
Kisha Nenda zako kalale LODGE utarudi kesho yake asbh kushakucha

Fanya hivyo kwa wiki nzima, TATIZO LITAISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa chuoni alikuwa na Spika kubwa ndefu zile,sasa alikuwa anachukua video za X anaunganisha halafu anaweka sauti mpaka mwisho anailekeza dirishani mchana kweupe halafu anafunga chumba anatokomea kusikojulikana,hizo sauti za kulalamika mademu ni balaa

Aisee, pale palikuwa hapakaliki wala hapasomeki hosteli karibu tatu zinazokaribiana,kama unaweza vumilia kama huwezi nenda darasani kasome huko.

Ila mleta mada simshauri hii njia,maana hapo atachokoza majirani mtaa mzima,
 
Kesi wanaiwekaje sasa? Maana utaenda kwa mwenyekiti kulalamikaje kuwa jirani anatiana sana na mkewe kwa sauti ya juu au
 
Back
Top Bottom