Kwanini baadhi ya Watu wanapenda kusikiliza Muziki kwa sauti ya juu?

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
5,707
11,962
Habarini raia.

Najiuliza kwann kuna watu huwa wanapenda makelele muda wote. Unakuta mtu labda anakaa nyumba ya kupanga ambayo kuna wapangaji wengine eneo hilo, akifika yeye atafungulia muziki kwa sauti ya juu ambayo ni kero kwa wengine. Atafungua na mlango kabisa as if mliomba awafungulie mziki.

Au kuna wale watu akifika sehemu kuna utulivu atawasha hata simu yake anaweka manyimbo yake yasiyoeleweka halafu anatulia anawatazama usoni as if mliomba awashe huo mziki. Kuna wale wengine labda yupo hostel anashare chumba na wenzake anawasha Bluetooth speaker yake kwa sauti tena usiku halafu bora aweke nyimbo za utulivu za taratibu anaweka nyimbo za kelele na midundo ya haraka inayofukuza usingizi haraka. Au katoka kwenye mtihani wa chuo akirudi hostel anawasha limziki kwa kelele ukiuliza eti anataka kurelax baada ya Pepa, yaani unarelax kwa kupigia kelele wengine ambao pengine muda huo wanajisomea au wamejipumzisha?!

Au kuna wale watu ataingia kwenye gari ya mwingine ataanza kugusa gusa redio au ataulizia kama redio inafanya kazi badala ya kutulia kwan hauwezi kutuliza matako yako hadi ufike destination yako ushuke kwa utulivu kwan mwenye gari hafahamu kuwa kuna redio hapo kwenye gari? Au kuna ile unapanda gari ya mtu fulani anaweka mziki sauti ya juu halafu anaanza kukuongelesha, sasa umewasha mziki wa nini kama unataka kuzungumza na mtu uliye nae kwenye gari.

Au kuna hawa madereva na makonda wa madaladala au basi za mkoani. Unakuta mfano kwenye daladala wanafunga bonge la speaker halafu litakaa nyuma ya gari kule huku yeye yupo mbele anafungulia mziki kwa sauti ya juu halafu anaona sawa tu yaani utulivu unamnyima amani ila kelele zinampa raha anayotafuta. Kuna ile ya mabasi ya mkoani nadhani hii kero huwa mnakutana nayo wengi sana.

Unakuta umepanda Dereva anaweka nyimbo halafu sauti juu halafu unakuta ni safari ya alfajiri mtu umeamka kuwahi stand umeshamalizana na purukushani za kupanda basi na kupata siti yako sasa unataka kuchapa usingizi kulipizia ile asubuhi na unakuta labda ni safari ya masaa nane kuendelea jamaa anawasha muziki mnaanza kula bongo flavor. Yaani ingekuwa ni maamuzi yangu aisee gari zote ningeamuru zisifingwe muziki anayetaka muziki siku hizi kuna spika za masikioni unaweza panda basi na mziki wako sikiliza nyimbo zako kwa sauti ya kiwango chako bila kubugudhi abiria wengine ambao wanataka utulivu.

Huwa najiuliza hawa watu wa namna hii kama mpo humu ndani hivi mna changamoto gani ya kiakili, ni kwann uvitiwe na kelele badala ya utulivu, tufanye wewe hauwezi ishi bila kelele kwann sasa unakuwa comfortable kuwapigia wengine makelele?!

Unakuta mtu umeamka alfajiri saa kumi unawasha redio tena kwa sauti ya juu. Hujui kuna watu muda huo ndio wanarejea kutoka makazini, hujui kuna wengine wanauguza wagonjwa, haujui kuna wengine wana vitoto vichanga na huo muda ndio vimeanza lala sasa inabidi nao walale baada ya kusumbuliwa usiku kucha kubembeleza mtoto? Kuna sababu zaidi ya 1000 ambazo zinapingana na tabia ya kuamka alfajiri na kuwasha mziki kwa sauti ya juu.

Kwann utake watu wengine wasikilize kile unachotaka wewe bila kukuomba katika "space" yao na "privacy" zao. Yaani unawasha mziki ambao sauti yake unaenda kwa sauti ya juu kwenye chumba cha au nyumba ya mtu mwingine na kukawa na tafarani as if mpo chumba kimoja.

Kwanini usivae earplugs/earphones ili usikilize kile unachotaka kwa uhuru wako bila kutibua utulivu wa wengine. Hawa watu mara nyingi ukiwauliza kwann wanafanya wanachofanya huwa hawana jibu la kueleweka cha zaidi utaona anababaika kujibu au anaongea vitu ambavyo hata yeye havielewi.

Hivi kwanini kuna aina hii ya watu mimi huwa nahisi pengine ni tatizo la kiakili sababu mtu ambaye hapendi kukaa kwenye utulivu basi akili yake haipo sawa au haifanyi kazi sawa unless amekaa kwenye ukimya muda mrefu sasa anataka kuchangamsha akili ila sio muda wote kutaka kusikia muziki au makelele kwa sauti ya juu sana kupitiliza recommend decibel levels.
 
Watakuambia unawaangia Maisha
Binafsi napenda mziki uwe katika Low tamper blues songs sauti Iwe ya chini na nyimbi ziwe za kizungu tu
 
KWANINI WANAPANDA TRAIN? NADHANI WATAKUWA CCM HAO,, ANAYEJILEWA HAWEZI KUPANDA TRAIN ZA BONGO
 
Interest
 
Watakuambia unawaangia Maisha
Binafsi napenda mziki uwe katika Low tamper blues songs sauti Iwe ya chini na nyimbi ziwe za kizungu tu
Na hii ni kawaida, kelele hazijawahi kuwa kitu cha kawaida. Porini kwenyewe ukiweka mziki au kitu chenye makelele kama kiwanda, au kukiwa na movements za mashine kama train wanyama huwa wanaondoka sababu kelele ni uchafu katika mazingira.
 
Nashauri nunuaeni ear plugs za kuweka masikioni kuzuia sauti na kelele za watu/vyombo.
Utakuta umelala na lijitu linakoroma kama simba mzee bila kuzoea au ear plugs huwezi kulala.
 
Ukitaka kujua kiwango cha umasikini na ushamba wa mtu we fuatilia sauti ya muziki anayoweka, sauti ikiwa chini au wastani ustaarabu ni mkubwa ila ukiona mtu anawasha sauti ya muziki juu bila sababu maalum ujue ni maskini na mshamba.
Kama iko ndo kigezo cha kupima umasikini / utajiri wa MTU basi uko na IQ ndogo sana., Acha ushamba.!

Raha ya muziki Sauti
 
Back
Top Bottom